Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@uhondo.tv: Usikubali mwanao siku moja akasema kwa baba niliambulia jina tu - RC Kheri James.
Uhondo TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 26 November 2026 17:27:09 GMT
133181
9526
304
918
Music
Download
No Watermark .mp4 (
1.13MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
1.13MB
)
Watermark .mp4 (
2.38MB
)
Music .mp3
Comments
IK :
kumzaa ni mchango mkubwa
2026-11-26 18:13:04
22
saudath :
mi ndo naenda kubadilisha na jina asimbulie kitu kabisaa
2026-11-27 06:55:30
36
Eloly boy dmn :
mm hata jina sijaambuliwa🤣😂
2026-11-26 19:04:22
43
kamvua bites :
Yani huyo ni baba yangu kabisa alinipa jina tuu mambo mengne akaenda kufanya kwa watoto wa watu kujipandisha na sifa tuu😔😔🙌
2026-11-26 19:28:38
47
Galib :
kuzaliwa na baba masikini ni mipango ya mungu kufa masikini ni uzembe
2026-11-27 14:56:51
4
Flamingo 🦩 cake shop :
mi ata jina sjambulia😁
2026-11-26 20:12:22
9
@me....!!! :
mi naweka wasp ili wachukue na jina lao😂😂😂😂
2026-11-27 07:45:45
5
kid wilson :
kweli ni aibu sanaaa 😭😭😭
2026-11-26 18:40:49
28
user66391325694634 :
asa jmn mm nilianbulia jn sema jn lenyew mam ang alilikqtaa kwaiy sijaambulia chochot nip nip🤣🤣🤣🤣
2026-11-27 15:41:30
2
Jackline💜🦋 :
me hat jin sn😂😂😂😂
2026-11-26 18:57:47
0
kijukuu cha mtume 🕋 :
wababa tunapitia magum sana yan hata mtoto umtunze vipi ila akikua tu bas mtt haesabu mazur yko hata kdg
2026-11-27 17:36:31
2
Mashatz🇹🇿 :
Bab mtoto wangu naomba aone hii
2026-11-27 04:57:22
1
Mama Tonya :
Aibu ŵanaume umenena Mkuu Mungu Akubariki
2026-11-26 19:23:04
8
Rosemary Ngocho :
hata wangu wameambulia jina tu
2026-11-27 08:47:06
7
zamda bakari :
sikuizi tunazaa nao na majina tunawapa wenyewe
2026-11-27 05:02:01
6
korin🍓🫶 :
mie ata ilo jina sikuambulia[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-27 05:42:58
1
❤️🙈miss :
siafadhali waliambulia jina wangu mm hata jina hakupewa
2026-11-27 08:15:08
0
BINTkarungi90🥰💝💝 :
mi mwenyewe ningekua na uwezo hata hayo majina ningeyabatilisha kwa watu wote
2026-11-27 04:30:37
2
jeniyohana266 :
ndio mtoto wangu kwakweli
2026-11-27 08:50:08
2
user63558312678128 :
mimi natumia jina la upande wa mama yaan baba yake mama ndo na mimi ni baba yangu ko hakuna kitu ananidai🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-27 07:42:03
3
Happy🌸 :
Me hata jina t naona sijaambulia maana hata shule nilitumia jina la mwingine😂😂
2026-11-27 07:10:15
4
lovely girl♥️ :
aibu kubwa saanaa hata kwa sisi wamama ,zaa watoto ambao unaweza kuwapa maisha Bora
2026-11-27 05:11:36
1
واتخذ الله ابراهيم خليلا :
m niliambiwa bora nimsaidie mtoto wajirani ila sio wewe nakweli alifanya hivo kwa mtoto wajirani toka nikiwa mdogo mpaka leo
2026-11-26 22:12:47
0
KC77 :
sogeeni apa ambao tumeambulia jina tu kwa wazee wetu😢
2026-11-27 16:01:57
1
emmaculathaseif57 :
Mi hata jina simpi yani nihangaike kununua daftal na karamu harafu viandike jina lake
2026-11-27 15:14:12
0
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
Go study!! #motivation #studytok #fyp #creatorsearchinsights #study
#recuerdos #venezuela #españa #plussize #bbw
#youngsheldon #appletv #movieclips
ښکلا یې بې مثاله ده ✨#Pashto #Pashtun #PashtoSong #PashtoTikTok #Pashtana #Pukhtoon #PashtoMusic #PashtoVibes #AfghanTikTok #Foryou
#عادل_امام #كوميدي #سمير_غانم #اضحك #اضحك_من_قلبك
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy