@hubofwisdom.inc: Je, watoto wachapwe viboko? Au wasichapwe? —- Katika mjadala wetu tunaendelea na mazungumzo ndani ya BookClub11 tukiongozwa na kitabu cha MINDSET cha Carol S. Dweck, tukiwa pamoja na Katika mjadala huu, tunachunguza umuhimu wa kuwa na mtazamo sahihi wa maisha, kujifunza nje ya mfumo rasmi wa elimu, kuvunja mipaka ya fikra na kujenga uwezo wa kukua kupitia changamoto na uzoefu wa maisha. -— 📌 ANGALIA TOLEO HILI KWA NJIA YA YOUTUBE HAPA: https://youtu.be/3IRTi2oAnQ4 Au gusa link iliyopita kwenye bio -— KUWA SEHEMU YA MIJADALA HII WAKATI UJAO: Tunakukaribisha uwe sehemu ya jumuiya ya watu wanaopenda kujifunza, kuuliza maswali na kuchocheana kufikia uwezo wao mkubwa zaidi. 🌐 Tembelea: www.hubofwisdom.com/bookclub11 📲 Instagram: @book.club.11 | Au piga simu namba: 0753825794 Read it, love it, share it! #BookClub11 #Thewisetz #AkiliYaMtaa #Mindset
hubofwisdom.inc
Region: TZ
Thursday 26 November 2026 18:47:14 GMT
Music
Download
Comments
agripamusic :
Viboko is pressure.. Pressure is important for shaping human's character and reaching potential...Kumbuka haya maneno: Hadi education system ya Tanzania ije ifikie uwezo wa kufundisha vizuri watoto bila viboko tutakuwa tumepoteza human resources sample spacemen kubwa sana...
Fear sio ya kuipa nafasi kubwa,but fear ni necessary wakuu,acheni motivation 🫵
2026-11-26 20:08:52
7
adidy :
uyu baba huwa simuelew
2026-11-27 05:38:47
2
Sir Kelvin :
This guy should be a president
2026-11-27 00:49:20
0
The Great Marcello :
yuko sahihi kabisa
2026-11-26 19:11:00
1
Poocastellano :
Philosophy Of The Socrates. 🌒🪄
2026-11-26 18:58:01
3
Miris Alex :
Sahihi lengo n kujenga future Maan atakuwa mkubwa atakumbuk niliambiwa hivi ili niishi Iv ss tunataka kutengeneza Uwongo kitu ambacho akiwa mkubwa Awez kupigwa tena Huo nd mda atafny chht Ila km amejengw kwny nidhamu y kudumu Atakuwa kijana Mwny Hekima
2026-11-27 08:23:41
0
Patcho Mwamba 99.9% :
Daah, Sahihi sana
2026-11-26 19:20:11
2
Godlove in Wheels :
eventually mwishoni anathibitisha umuhimu wa viboko.
2026-11-27 06:28:49
0
🥰🥰 :
Detention inaitwa!!
2026-11-27 05:10:56
0
Chairman :
usichoke sna fukuza shule......🤔
2026-11-26 21:38:37
0
Hamimu Amiri💵🏋🏽♀️ :
Akili nyingi
2026-11-27 04:44:47
0
hapley :
Teacher Cosmas enzi hizo Montesory Mwanza Kiloleli tukikuzidia unachukia unachukua ndala unatuchapa miguuni.
Am proud of u to be my teacher .
2026-11-27 04:52:59
0
lotus :
wazungu hawachapani na wanatuzidi, fikra za kitumwa tu
2026-11-26 20:24:08
0
Designer 👑 :
Tutaendelea sana kupata CONNECTION ZA WATT sababu hata uwo uwoga pia hawana
2026-11-26 22:22:00
1
Mathias elias :
mbona anarudi palepale sasa.
2026-11-26 19:47:50
0
El Grande AbuuJr :
Baba yake Coy mzungu
2026-11-26 22:10:09
0
Kambuyaya :
Too much formulas,,,
2026-11-26 19:32:18
1
EmmaExtravision :
💪
2026-11-26 18:52:15
1
DenriQ :
Nani alisema lengo la vibiko ni kujenga akili??.. lengo la viboko ni kumaintain discipline na respect..
2026-11-27 07:55:33
0
To see more videos from user @hubofwisdom.inc, please go to the Tikwm
homepage.