HATA UKIPIGWA MIMI NITAOLEWA TU MUSINITISHE BHNA😁😁😁😁
2026-11-27 00:17:33
452
yogirl phephe♎️✨ :
Duuuh kama ni hivi mm ndoa gudubai
2026-11-27 01:05:49
165
user9322099479527 :
Kwa bahati nzuri sina NIDA 🤷🤷
2026-11-27 01:17:28
101
grena mujuni :
mie nashangaa mnavyogombana na hao wanaume, akifanya hivyo … usimuulize, usijibizane naye, hata ukimfumania usiulize kabisa, jipende , tafuta pesa,deal na maisha yako BASIII …
2026-11-27 06:26:59
87
Sharifa Qudra :
kumbe mimi naishi na malaika duh!!
2026-11-26 23:06:30
95
icequeencollection :
Ndoa tam na kwa uwez wa Allah yang itakuw tam zaid
2026-11-27 03:48:46
68
Dullah1 :
Hiyo filter gani?
2026-11-27 04:08:49
18
✨she’s dorie🦋🎀 :
Mbona mi sisemiii kam stakii ndoa na sisemii wakuuu😂😂🤷♀️
2026-11-26 22:55:57
38
leah :
nmechoka kuw mwanamke mim
2026-11-27 03:28:48
11
Mustafa'nın eşi :
msichukie ndoa guys inategemeana ulimuomba mungu kwa maombi gani guys
2026-11-27 00:58:33
7
Official _Dee✨💕 :
Niliacha ndoa ikiwa miez7 tu niliona ananunua uchi mtandaon nikasema akhaaaaaaa Yann mie
2026-11-27 06:54:11
22
Adelita Egibati :
pole mpnz
2026-11-27 19:42:24
0
@Zed Quty :
jamani sio wanaume wote wanakuwa ivi mbona si tuko kwenye ndoa na tunainjoy mwak wa 5 niuruka ya wanaume wachache wenye hila na ubinafsi na wasiojali upendo wa wenzie wakiwa na zana potof kwamba mwanamke nimtumwa Allah awajaliy wanaume sahihi wale wasio olewa
2026-11-27 05:12:36
11
G m💍m Don💕🦋 :
ndo maana naachika kumbe mungu ananiepusha
2026-11-27 04:03:36
9
lee :
ndo mana sitafuti Nida
2026-11-27 12:10:00
6
€dd¥ :
Msitutisheee😅😅😅
2026-11-27 18:05:26
0
julianadeogratius6 :
pole dada ☺️☺️☺️
2026-11-27 08:10:08
0
Khadija :
pole sanaa dada 😭😭😭😭😭
2026-11-26 22:03:32
12
Sally Sultan :
Kwa kina ndoa lazma niingie tuu 😂
2026-11-27 06:14:02
5
Official zaiham💕 :
Jmn kaaah ndoa hizi😳😳
2026-11-26 22:07:47
5
butterfly girl🦋🦋💫 :
duuu pole dada anguu imeniuma sana
2026-11-26 22:28:46
8
Hekima Mwakipesile :
pole kipenzi vumulia yatakwisha ndoa zote ndo zilovyo mungu kama amekupa kiapo cha ndoa vumlia
2026-11-26 22:27:02
5
celynegirl :
Kidogo niamini kumbe AI 😂😂
2026-11-28 05:16:17
0
shammycollection_ :
Mmh
2026-11-27 16:31:37
1
To see more videos from user @mr_it_thereal_hucking_, please go to the Tikwm
homepage.