Siku mbaya lazima ziwepo katika maisha yetu, si kwa sababu tunastahili kuteseka, bali kwa sababu wakati mwingine tunahitaji kupitia giza ili kuelewa thamani ya mwanga. Huwezi kuithamini furaha kikamilifu kama hujawahi kuonja huzuni, huwezi kuithamini amani kama hujawahi kupigana na mawazo yako mwenyewe.....🫂😊
2026-11-27 12:33:05
7
tinnah :
hakika blood
2026-11-27 09:29:38
1
Zugwa Mafia 😡✌️🤙 :
My brother
2026-11-27 14:20:46
0
stopper01 :
bro ukiona duka lolote chukua chochote una baya this is true 👍
2026-11-27 07:58:03
3
mama mwarabu Tz❤️❤️ :
ni kweli kabisa familia yangu
2026-11-26 19:28:01
2
twalibu🇹🇿 :
one love 🔥🔥
2026-11-27 12:09:46
0
Mto!💫💫 :
nakupenda
2026-11-27 09:36:19
1
Judy 🥰🥰 :
ni kweli
2026-11-27 07:59:33
1
perxsoardj :
Exactly 💯
2026-11-27 11:58:51
0
agustino dsm69 :
najiulizaga bila mitandao tungepeanaje madini kama hay kwa heshima kak
2026-11-27 12:58:57
1
Monicah🇹🇿🩶 :
Na watu wabaya wasiokuthamani wa kujali kuhusu wewe lazima wawepo ili kukumbusha ukipata furaha ni jinsi gani yakuitunzaaaa🙏🙏🙌🙌🙌
2026-11-27 09:56:13
1
Eliah mwakyembe :
Iko vizuri sana hii
2026-11-27 17:43:39
0
AKA 047 :
2026-11-27 06:55:41
1
nicholaus :
bro aibu naona mm kwasababu sina ata moja
2026-11-27 15:11:07
1
MALUME :
mii nimeipenda nyimbo yako nliachwa vby sana😂
2026-11-27 19:06:13
0
𝗖𝗛𝗥𝗜𝗦𝗦 𝗡𝗗𝗔𝗜𝗚𝗔 :
2026-11-27 03:24:47
1
Maina De Queen ✨ :
2026-11-27 05:17:54
1
NOTIFICATION :
2026-11-27 06:10:30
1
Dorothea Kehha :
💯
2026-11-26 19:30:54
1
user2401771529497 :
2026-11-27 10:26:06
0
It's..Ruhava⚽️4 :
Dahhh kweli mwanangu
2026-11-27 12:35:55
0
Young Edgar :
kabisa familia
2026-11-27 15:31:08
0
calvinny jastini :
ipo saw
2026-11-27 18:58:51
0
S E L E M A N I :
nakubali
2026-11-27 16:53:56
0
To see more videos from user @robertcharlz, please go to the Tikwm
homepage.