Bora umeniweka sawaaa,coz muda mwingne nikila vitu vya mafuta tumbo linaniumaaa
2026-11-27 09:16:13
1
Mamii😍 :
Dr habari kiukweli natumia sana Dawa Tatu kwa maumivu ya kichwa, nisaidieni kupata dawa za kutoa sumu mwilini
2026-11-27 12:22:17
0
princess zuuh :
mimi yangu hua haikauki saana jaman, so mafuta hayaunguii☺️
2026-11-28 05:09:37
0
jumanasalma :
me sasahv nikila chips natapika balaa nimeacha kul wal sasahv siumwi tumbo
2026-11-28 04:51:55
0
Anna ᥫ᭡🌸 :
Mimi hupenda chips safi kama sio sili
2026-11-28 05:00:19
0
Nameless :
ila dactar
umeongea ukweli jmn
ombi langu kwa hawa mabwana na mabibi afya, kuwekwe utaratibu wa kuwatembelea hawa wauza chipsi jmn
kuna mmoja apa mtaani amezidi
mpk nilimuuliza unapikia oil chafu au ? nilillipa na nikaacha
2026-11-28 02:23:49
0
WAEBRANIA 11:1✝️ :
Now I understand kwann nikipikiwa chips nyumbn siumwi tumbo ila nikijichanganya tu nikala nje ya nyumbn maumivu yake sio poa
2026-11-27 22:52:41
0
gson :
nimewaambia wanikaangie chipsi bila mafuta
2026-11-27 12:35:13
0
Dr mushi✍️ :
if a problem ipo kwenye kuungua kwa mafuta kwaiyo tunaweza kusema vitu vyote vya kukaanga kwa mafuta yakiungua kwa mda mrefu n tatizo pia!?
2026-11-27 14:52:05
0
Jen 🇹🇿 & 🇩🇪 💍 :
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
2026-11-27 14:37:28
0
To see more videos from user @vyakulanatiba, please go to the Tikwm
homepage.