Mama Nuraty155 :
Acha tu na historia nazo hizo nyumba,ya kwanza Kuna wapan gaj walikua wanapenda kumsema mwenzao,namm nachangia,kumbe wakitoka hapo wanaenda kuguzae Kwa yule ndoi namsema,,nikaona sisalimiw na yule,cku moja nimejipumzisha natumbo la miez nane,alikuja kunichamba Kwa saut ya juuu mpk mtaa wanyuma walijaa kunishangaa,ckumjibu nilimpeleka polic,,ya pili Kuna yule mpngaji,alikua anawasha mziki anaweka taarabu saut mpk mwisho, zkiisha znajiludia ,halafu anaenda kazn analud jion
2026-11-28 03:43:31