@nurunjema_tegeta_school: 😂😂😂😂😂Pole sana mzazi. Tunaelewa jinsi jambo hili linavyoweza kukukera, hasa ukizingatia kuwa mwezi bado haujaisha. Watoto wakati mwingine hufanya mambo bila kutambua madhara yake. Cha muhimu ni kuwafundisha uwajibikaji na namna ya kutunza vifaa vya nyumbani. ❤️#tanzaniatiktok🇹🇿 #watoto #shule #fyp #Tranding @oumar_iphone_enfant_ben0 @Petıt 69✅ @Madam msuya 📚 ✏️ @NURUNJEMA MAIN CAMPUS @KISANGA ENGLISH MEDIUM SCHOOL
NURUNJEMA | SCHOOLS
Region: TZ
Friday 27 November 2026 04:53:28 GMT
Music
Download
Comments
Twaiba Muhidini :
waache malaika wako kwenye bustani ya wazazi🤣🤣🤣🤣
2026-11-27 11:28:52
39
mariammndeme1 :
mwalimu wana kiti chao mbinguni
2026-11-27 16:53:54
18
kadzoelizabeth193 :
2 more months
2026-11-27 16:50:42
1
Noela Charles :
hiii htr
2026-11-27 16:57:05
0
Neila_saidy :
Yan namlaani aliosema Kuna El nino
2026-11-27 12:23:48
15
Laylath Mzungu :
walimu njoeen mchukue mizigo yenu sisi hatuwezi jmn
2026-11-27 11:08:53
7
Angel Angel :
halafu aliepanda Hana hata habari 😂😂ndio kwanza Ako biz na makaratasi yake
2026-11-27 10:32:29
9
bahajamnyeke :
Elvin ni innocent bt kuwatete ni ngumu🥹
2026-11-27 16:44:04
5
helpsuu_@ :
ndo Raha ya kuzaa🤣🤣
2026-11-27 09:48:35
1
🌹✨💫 𝕞𝕪 𝕙𝕒𝕓𝕚𝕥𝕪 💫✨🌹 :
Walimu wanakazi sana huko shule jamn inatakiwa tuwapee hata pesa ya soda mda mwingine jamn
2026-11-27 17:51:31
7
The Blessed kids Store :
Ndio Maana nimewapeleka Moshi kwa Babu na Bibi yao Mapemaaa
Godwin wng namjua vzr 🤣🤣🤣
2026-11-27 06:49:35
7
MAMAB :
yaan kiukwel waalimu mpewe maua yenu mm ctak hata kusema mengi
2026-11-27 12:39:17
6
ikingu :
😁😁hata yangu wamevunja, bahati nzur imegongwa pemben, imezima nusu na nusu inaonesha
2026-11-27 12:58:20
6
madam zay :
Huwezi amini nimeawamic sana wanafunzi wangu,haswa wanaokuja na mayai shuleni,tena nawaomba wazazi tukifungua shule january juice msizitie maji.
2026-11-27 15:45:47
3
Elizabeth 😍 :
Bado hamjasema! Mtuache jamani tupumzike akili ikae sawa kwa January
2026-11-27 13:50:11
1
Salha Sitta :
me sauti sina nnekaushwa adi damu na watoto
2026-11-27 15:09:50
0
Valentine :
🤣🤣
2026-11-27 13:44:51
1
Grace Martine :
2026-11-27 11:50:02
1
Lisa_ :
Uwiii
2026-11-27 11:22:51
0
Maryam💯💫💫 :
imegawanyika upande usiku, katikat alfajiri, upande mwingine ndo asubuhi kumepambazuka😂😂😂
2026-11-27 19:14:02
2
winnyfrida776 :
Eeeee
2026-11-27 08:49:32
0
Elizabeth Msungu :
😂😂
2026-11-27 10:55:53
1
emmanuela :
kama namuona wakwangu
2026-11-27 15:38:39
1
Alice :
ety ndugu walimu😅😅
2026-11-27 11:54:26
1
glory ritte :
Malaika wa shari huyuuu
2026-11-27 15:35:54
1
To see more videos from user @nurunjema_tegeta_school, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.