@kusslove_tz: Hakika hili pengo ambalo halitakuja kuzibika,Hakuna maneno yanayoweza kuondoa uchungu wa kuondokewa na mpendwa wetu huyu.Nawaombea nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu.Poleni sana Wana Iringa poleni sana Nyanda za juu kusini,poleni sana wadau wote na watu wa tasnia…Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.Pumzika Eddo,Amen🙏🕊️🕊️ #kusslove #eddo

kusslove_tz🇹🇿
kusslove_tz🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 27 November 2026 04:56:30 GMT
11768
2237
98
39

Music

Download

Comments

unusual9445
Eg Classic :
iv kipaja yupogo wap pia kwa anae jua
2026-11-27 06:36:34
2
deboramarema
debris :
Daaaah yaan unajua kuimba kwa hisia na una sauti nzuri mpenz♥️❤️🧡🩵💙
2026-11-27 07:38:27
6
mumy.momo
🥂Mumy momo..😘🤪 :
wooh nizaidi ya kipaji
2026-11-27 05:43:39
8
amatz000
AMA@ Tz💎 :
kuss love .. nivile tu ninyimbo yamajonz lakini kwa wimbo huu gooo oo oood💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥ooooooooo💥💥💥💥💥
2026-11-27 08:06:28
0
life.yetu
LIFE YETU :
Wimbo mzur sana kak mungu amlaze kak etu EDD mahali pema peponi
2026-11-27 06:15:20
6
ruthj3307gmail.com
[email protected] :
dogo unajua
2026-11-27 05:13:41
8
salingohezron612
Angel :
😭😭😭😭😭eddo but why amchukue eddo wetu
2026-11-27 07:15:48
0
user5637526542366
NEVER💌🦋 NICE♥️ :
huu wimbo unahisia Kali vibaya mnoo big up kak
2026-11-27 07:33:51
1
itscassandra75
cassandra💕 :
Dahhhh 😭 rest in peace
2026-11-27 07:19:09
0
jowzeey103
Jowzeey :
RIP Eddo⚘️. Get well soon bro
2026-11-27 06:40:43
2
shuhudapetro
witness peter :
jmn unazid kunkbusha machungu tu nashindwa kumsahau
2026-11-27 07:22:15
1
its.aunt5
It's Aunt💜 :
Jina La wimbo
2026-11-27 07:41:58
1
dimbaa5285
dimbaa5285 :
nimeludishia zaidi ya mara tatu da aise
2026-11-27 05:15:20
3
joshuamwalasi
Joshua Mwalasi :
daaaa kaka edo ametuliza sana vijan iringa nzima asante kwakukumbuka
2026-11-27 05:53:44
1
qsir268
Odrina❤️🥀 :
Name of song please
2026-11-27 05:44:41
2
bararago
THE--PRINCE :
daaaah kile umeniliza😭😭😭
2026-11-27 05:09:47
3
vivian.neyman3
Vivian Neyman :
duh inauma sana jamani kuondokewa na mshauli mzuri kama eddo
2026-11-27 05:02:43
1
wazilimadimba
kali, yaonethe :
copy ya rayvanny
2026-11-27 06:43:42
0
happycollection38
Mom Gee🫂♥️🌺🔏 :
Aiseee Edo katuumiza Sana Wakuu 💔😥
2026-11-27 07:51:05
0
manathan.alonga
bien_fait kusslove tz :
daaaah ila kusslove
2026-11-27 07:43:01
0
mwafou
mwafour 💫🫶 :
daah inauma sanaa
2026-11-27 08:03:00
0
midaboy.drc
midaboy.drc :
pole
2026-11-27 08:09:10
0
its..ummy1
its..ummy1 :
Eddo😭😭😭
2026-11-27 08:00:55
0
necygi625
Necy..GIC625🍁🍁❤️ :
hadi nimelia jmn 🥺🥺RIP Edwin Bashiru Sanga
2026-11-27 08:03:47
0
neshmshairi
~NeshMshairi___🦌 :
Duuuuh...!!😢😭
2026-11-27 07:58:03
0
To see more videos from user @kusslove_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About