@sulesh_2025: masikitiko makubwa, tunapokea taarifa za kifo cha Dkt. Salha mohammed Kassım, alıyekuwa mlezı wa watoto yatıma na mwanzilishi wa taasisi ya TAQWA ORPHANS TRUST. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa, Dkt. Salha amefariki dunia kufuatia ajali ya gari akiwa safarini kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kuelekea Arusha. Marehemu alikuwa akijulikana kwa mchango wake katika kuwalea na kuwasaidia watoto yatima kupitia taasisi aliyoianzisha, TAQWA ORPHANS TRUST. Kuondoka kwake ni pigo kubwa kwa familia, ndugu, Jamaa na wote walioguswa na juhudi zake za kuwasaidia watoto wenye uhitaji. Tunamuomba Mwenyezi Mungu amsamehe marehemu, amrehemu, amjaalie kaburi lake liwe bustani miongoni mwa bustani za Peponi na amuingize katika Jannatul-Firdaus. Tunaiombea familia, ndugu na wote walioguswa na msiba huu wapewe subira na nguvu katika kipindi hiki kigumu. Allahumma-ghfir lahaa warhamhaa. Aamiin. Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un. #islamicreminder #innalillahiwainnailaihirojiun #tanzaniantiktok🇹🇿 #creatorsearchinsight #fyp
SULESH THE BRAND 👑
Region: TZ
Friday 27 November 2026 05:01:27 GMT
Music
Download
Comments
fatuma zainabu :
poln San wanafamily
2026-11-28 07:16:40
0
don :
innlilah
2026-11-27 08:49:40
0
BEBERU1982 :
ALLAH AMJAALIE QAULI THABIT ALLAH AMJAALIE QAULI THABIT
2026-11-27 10:42:33
3
MP. kijagwa 🇹🇿 :
MUNGU alaze mahala pema peponi
2026-11-27 13:08:44
1
Maryam said :
Allah amsamehe makosa yake
2026-11-27 11:46:51
1
Stumai Mrisho :
innalillah wainnaillah rajiiun
2026-11-28 18:59:06
0
user9063760355803 :
Inalilah wainailah rajiun
2026-11-28 17:02:26
0
Robert kerito :
🤲Allah amjalie jannah firdous
2026-11-28 15:32:13
0
Swaumu Said :
mungu amlaze mahal pem peponi
2026-11-28 17:54:49
0
MOAN :
ALLAHUMMA GIFRILLAHA WAISKAINUL FIL JANNAH 🤲
2026-11-28 10:06:44
0
munish :
inna lilah wainna ilahi rajiuun mbele yako nyuma yetu ss sote ni wa Allah na kwake tutarejea😭😭😭
2026-11-28 17:41:28
0
Ibrahim Said Mohd Alyahmad :
Molla amweke pema Insha Allah
2026-11-28 16:28:27
0
Makota Said :
@mungu amrehemu
2026-11-28 16:11:32
0
Fund momy shir@✂️🍎🍎 :
ameen
2026-11-28 15:27:18
0
Abuu arqam :
allahuma ghufrlaha
2026-11-28 12:05:23
0
khalid :
kwann mnamuita hivyo
2026-11-27 07:47:54
0
zainabu Yussfu :
allah akbar
2026-11-28 11:22:56
0
Hashimu Lipunga :
Innalirakh wa innalirakh Rajiuun
2026-11-27 08:27:42
1
@Giftty :
Allah akulaze mahalapema peponi Amiiiiin
2026-11-28 08:29:19
0
abduly :
mungu akuhifazi akuepushe namoto amina
2026-11-28 17:04:13
0
mwamini♥️ :
Allah azidi kuweka wepesi kati kakaburi lakeee
2026-11-28 11:39:20
0
Jumabilali113 :
innalillah wainailaih taju'un
2026-11-28 09:35:33
0
ابو بكر :
انا لله وانا اليه راجعون
2026-11-28 09:32:43
0
Ashun :
Mungu amuweke pema peponi. Ameen.
2026-11-28 08:30:11
0
Bahrain 🇧🇭 🇹🇿 :
innalilah
2026-11-27 05:46:29
0
To see more videos from user @sulesh_2025, please go to the Tikwm
homepage.