Nina wifi yangu na mwanangu wote wadogo wapo darasa la pili weeeee Yani naongea hadi machozi yananilengalenga huyu wifi yangu anataka mwanangu amuite shangazi mwanangu hataki anasema nitakuitaje shangazi na wote tupo darasa la pili mara we mfupi siwezi kukuita shangazi Yani uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
2026-11-27 15:14:37
12
Fatma sonko :
mi ata sai nkiitwa tu namwambia pole mana nimezoea kuskia issa achapa mara issa ataki acheza amimi mara issa apendi Mimi, sai ata kama naombwa maji namwambia tu pole
2026-11-27 08:18:57
12
anniechriss :
Nyumba haipangwi ikapangika kupika muda wote kama mfanyabiashara wa chakula, kila wiki sokoni mtu mbili mkate mkubwa unaisha mayai tray wiki imekata bado hawataki maharage wala kande kisa wanakula sana hivyo huko shule.😁😁😁soda au juice hazitakiwi kuisha nikosa lakisheria, kelele sasa hata ukisema ujiegeshe haiwezekani tv volume utafikiri matangazo ya TRA barabarani. Khaaaa! Niache au niendelee waungwana?😁😁😁 Na mbaya zaidi ukute dada aliondoko usiku unalala unatamani miguu uning’inize jinsi inawaka moto kwakuzunguka hiyo nyumba siku nzima
2026-11-27 20:29:34
7
Saloon :
mi tv yangu ishaalibika
2026-11-28 06:59:38
2
Nicaragua🫶🇹🇿🍓 :
kun mda nawaacha wenyewe na dada yao narud jion naemda sehem naka mwenyewe🤣🤣
2026-11-27 16:43:58
6
Judith Msyani :
mbona mapema ata mwez haujaisha😄
2026-11-28 05:57:55
1
sweet flat tummy :
ngoj nipite tuuuu 😂😂😂 maan jana nimeliaaaa kwa kesii za kupiganaaa😂😂
2026-11-28 06:32:38
2
Florah99 :
hapo bado hata mwezi hawajamaliza mpaka tuseme hapo hatujasema
2026-11-28 07:45:40
1
Grace Sebahene :
Na mimi naongeza mama nyingine."Mama" mpaka eseme😅😅
2026-11-28 08:11:03
1
Emmy :
😂😂😂Me wananiita mama wakiona siitik wananiita jina langu 😂😂
2026-11-28 09:05:18
1
pudensiana :
😂😂😂😂saa kumi na mbili wameshaamka hapo ni kufoka mpaka sa tatu usiku🥺🥺jamani nasikia kuumwa na siumwi ng'o😂😂😂 na ndo kwanza tumetimiza week moja leo😂😂😂kichwa cha moto maji saivi nayo yanatoka yamoto sijui tunapoozaje mwili😂😂😂khaaa
😂😂😂😂 kina mama wenzangu mitatano tenaa ndo raha ya watoto
2026-11-28 02:23:43
2
seiya_mitumba safi :
Mm naumwa koo kabisa😂
2026-11-27 19:39:40
1
Melissa Simba :
Mimi Sasa ivi siongei maana ata sauti Sina Niko kama bubu nawafanyia Kwa vitendo
2026-11-28 05:30:04
1
Twaiba Muhidini :
walimu tupumzisheni kidogo
2026-11-27 11:25:46
1
Mama Triple :
Sasa hiyo iwe shule mwalimu mwalimu mara idadi ya watoto darasani mara madarasa unayofundisha mara muda unaokuwa nao yaani uanitwa Hadi unabaki unawaangalia tuu huyu kanibebea penseli,huyu kanikanyaga,huyu kanichania daftari,huyu kasema hikiiiii weeee Raha tupuuuuu
2026-11-27 07:54:22
2
lizzyqueenbetty :
vumilieni kidogo mpaka tarehe 9 hata sisi Huwa tunaitwa teacher××××999999999999😅😅🥰🥰🥰na kesi kibao na tunahakikisha wanakuwa salama muda wote hatuchoki
Ni wiki mbili tu lkn nimenunua limoti ya king'amuz mpk ss zinafika 3 yaan wanafanya km fimbo za kuchapiana yaan hapa nawaza cjui niwakimbieee hata sielew
2026-11-27 19:48:51
2
Miracle of beauty :
vumilia tarehe 13 syo mbaliii
2026-11-28 07:54:40
1
user7676179312661 :
huyu ni mimi kabisa
2026-11-28 07:29:38
1
agnee agnes :
nachoka mm
2026-11-27 10:24:16
2
Thuwa juma :
mashaallah hiyo ni baraka kuna wengine wanatafuta hata yule wa kumwita mama alau mara moja.
2026-11-27 08:59:16
3
PeninaJohanes sererya :
😂😂😂😂𝐊𝐚𝐳𝐢 𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢
2026-11-27 16:49:01
1
To see more videos from user @mamawawilihtz1, please go to the Tikwm
homepage.