@mtoto_wa_maria: Wakati ajira zimekuwa adimu na biashara zikisuasua, daima tukumbuke hili: juhudi peke yake hazitoshi bila neema za Mungu kuingilia kati. Maana wanaotamani kuona tunaanguka ni wengi zaidi, kuliko wanaopenda mafanikio yetu. Tusali wapendwa 🙏 #furahatemba #catholictiktok #tanzaniatiktok🇹🇿 #kenyatiktok🇰🇪 #fypviral