KWENYE MAISHA UKIMUONA MTU AMEFANIKIWA USIMSEME VIBAYA MANA HAUJUI AMEPITIA MANGAPI. KIUKWELI HUYU AMETOKA MBALI SANA NA HAJAWAHI KUKATA TAMAA. HONGERA ZAKE SANA
2026-11-27 17:40:12
28
Luqman dickison :
duuuh mond mung ampe maisha marefu make anapambana san
2026-11-27 18:36:46
11
Mr Steven :
mafanikio ni kujitoa sana
2026-11-27 17:55:38
6
mazee338 :
Kila nikikumbuka diamond katokea Tandale na Leo anatembea na private Jet basi nashukuru tuu kwa kuamka salama na nguvu za kupambana mengine namwachia Sir God
2026-11-27 13:32:28
16
Neema with IT 🇰🇪 :
true definition of hardwork pays💯💯
2026-11-28 06:22:09
1
Kababayee Babayao :
Siaminii yaani huyuu jamaa siku mojaa 😂😂 watakutanaa na Breezy Duuuh maisha.
2026-11-27 18:28:38
9
sthuus :
GRIT , usikatee tamaa
2026-11-28 06:15:43
1
TMT :
ila zamani sas huo mziki ni wa kucheza na madansa😂😂😂😁😁
2026-11-27 21:25:30
0
Sister P :
kikubwa nikufanya kazi kwa bidii usikate tamaa
2026-11-28 02:41:13
0
Angus🇰🇪🫡 :
back in 2012
2026-11-27 21:16:38
2
SIRI FASHION :
ngoja nikaze ninayo imani na kazi ya mikono yangu
2026-11-28 10:52:12
0
Jr.001👷♂️ :
nisijikaze aje na ninaumia moyoni
2026-11-27 22:33:27
1
Kelly's poul tz :
Daaaah i see my role mood🥺🥺🥺
2026-11-27 18:08:14
1
jaqy :
Ety Leo watu wanamlinganisha Ali kiba & SIMBAA hivii alikiba alishawahi kuperfom akiwa peku muda yeye kajibana kawanunulia madance nguo viatu ili tu Jambo analowaza liweze kufanikiwa aisee huyu mwamba ni balaa
2026-11-28 11:27:02
0
issajumahamad :
mmmmmmh 🥰🥰🥰🥰
2026-11-27 16:59:45
3
Abdalla333 :
m nilisema osama
2026-11-28 08:50:28
0
LIJODI JNR :
uyu jamaa ana haki ya kuwa billionaire
2026-11-28 04:31:07
0
Silvester :
diamond duuuhh,, uyu JAMA alikuwa mkali tangu zamani,, he never give up mungu akupe maisha marefu
2026-11-28 06:28:25
0
“My brother the expert 🔨🔥 :
Siopw jamaaa kapambana sana mpaka alipo fika
2026-11-28 01:31:51
0
Emmilygalish :
kweli jamaa aliamua kwenda mjini kusaka dah😊😅
2026-11-27 22:38:27
0
KING HD🫅 :
2026-11-28 09:43:54
0
Agustine Msambila :
mnapata wapi nguvu ya kumuita jamaa frimasoni mbona amepambana sana
2026-11-28 05:23:09
0
💯 Falcon 💫 :
kumbe mondi Anamguu ban
2026-11-27 20:43:14
1
To see more videos from user @wcb_old_school, please go to the Tikwm
homepage.