@waziri_wa_vijana: Wizara ya Miujiza tunaendelea kufanya maajabu 😂, Mwaka Mmoja, Vijana Pamoja. Leo sasa tunasema. Punguza Itifaki, Tukutane site 📍. #wazirivwavijanananauka #wizarayavijana #PunguzaItifakiTukutaneSite #vijanatuyajengetanzanianiyetu #kiongoziwawotemaendeleokwawote
Mkiwa unafanya hivi habari itaenda tu mkiweka kisiriaz mtaangalia wenyewe 😂
2026-11-27 11:06:16
39
Mwl.Bontz :
Admin wa hapa ni nani?😁
2026-11-27 10:28:24
21
maiko msigwa :
Huyo mwishoni hapo mmeona anachoongea ndio serikali sasa isivyoeleweka
2026-11-27 14:47:56
3
christopher Martin :
Dar to Mbeya ni kilometa 102?
2026-11-27 10:45:01
6
raphaelassenga23 :
[Laugh approved][Laugh approved]asante Mheshimiwa Waziri ubunifu mkubwa 💪💪
2026-11-27 08:30:48
0
davis✝️ :
mkuu mwaka huu naamini ntapata mkopo, na mwakani utakuja kutembelea mradi wangu ......inshallah,
2026-11-27 13:01:18
0
Stardomtz⛎ :
Ndio maana sitaki kuacha content 😂😂😂😂
2026-11-27 10:09:29
5
Balozi wa vijana tz :
TAARIFA NJEMA NI UKOMBOZI WA FIKRA KWA VIJANA WA TANZANIA 🙏🙏🙏
VIJANA WENZANGU POPOTE PALE MLIPO TUWEKE NGUVU KWA PAMOJA KUUNGANA KUFANYA JAMBO LIWE JEPESI TUKUMBUKE MSAADA WA MUNGU UPO PAMOJA NA WATU WENGI
WENU MWENYE KUGOMBANIA UKOMBOZI WA FIKRA KWA VIJANA TANZANIA.
2026-11-27 17:17:16
2
Lucas Nino :
ngoja nicheke tu😂😂😂😂
2026-11-27 15:14:47
1
Anitha Mkunzi :
kwanini hizo gari zote hv beba gari mbili na kila kitu kiendelee basi mambo ya kumaliza mafuta na saanyingine tembea nao tu kwa miguu
2026-11-27 12:43:46
1
Prof. Ndyamukama :
Hujawahi kuwa serious 🤣🤣
2026-11-27 12:42:15
2
BOSSLADY FASHION TRUSTED BRAND :
im so proud & proud ov you
2026-11-27 10:20:49
1
donyfuture :
ila gari zilizoenda hapo .gari moja sawasawa na hiyo hela ya mradi wa vijana 🤣🤣🤣😁😂jumla
2026-11-27 10:47:37
1
simba_aluminium🦺 :
Kun vijan mafundi admin 😳
2026-11-27 18:00:50
0
flavy flower :
hii ndo yenyewe sasa
2026-11-27 17:05:19
0
Michael Mtei :
apostof 😂😂🌐
2026-11-27 18:38:55
0
DAR PICHA SAFI🇹🇿 :
😂Mh. waziri nikiwa kama wakili wa kujitolea wa Apostle Mwamposa naombwa tulipwe elfu saba na mia tano kwa kutumia voice yetu😂
2026-11-27 18:33:45
0
MR.Audax 🇹🇿 :
Tukutane siteeee mkuu 😇
2026-11-27 08:28:50
0
Frorry :
2026-11-27 10:28:22
1
Happier :
Ila Waziri wangu🤣🤣🤣tunakukubali sana
2026-11-27 10:55:15
4
Flora :
Nilipo sikia sauti ya mwamposa nikatulia 😁kweli mwamponsa nampenda nafikiri tuko wengi,hongera waziri wa vijana kwa kazi nzuri 💪💪
2026-11-27 16:49:26
0
shey-km :
mwangaza na hazina yetu
vijana wa kitanzania
Mungu akurinde
2026-11-27 20:06:19
0
Amua Group :
NAAMINI IPO SIKU NA SISI HUKU NGARA TUTAFIKIWA. AHSANTEN KWA KAZI NZR WIZARA
2026-11-27 18:32:42
0
Peak Automotive :
admini wamoto🙌🔥😂😂
2026-11-27 16:54:15
0
urio lugumi :
sijaelewa mbona 🤣
2026-11-27 16:34:28
0
To see more videos from user @waziri_wa_vijana, please go to the Tikwm
homepage.