@rommydee7: #onthisday

ROMMYDEE
ROMMYDEE
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 27 November 2026 08:32:54 GMT
161940
5617
1210
147

Music

Download

Comments

miss.musilu
miss musilu :
askari mwingine ameacha kwangu😂 nikimwabia akujie ataki, nikimwabia nipee boda ampelekee anauliza kama huyo boda ndiye alileta😅😅 nachoka mimi
2026-11-27 14:16:17
176
faith.p11
faith p :
kwanza mwanaume anakuja kwako kufanya nn
2026-11-28 11:35:31
85
cozen027
☄️☄️☄️HEARTBREAKER☄️☄️☄️ :
anamark territory 🤣🤣
2026-11-27 14:32:49
30
user21703485600546
calistusmumy❤️ :
mm wameacha wawili na zote nimeziweka begi moja wakija namwambia angalia humo nakuomba usivae ya mwenzio
2026-11-28 18:01:29
30
tea.k44
Tea k :
hamjaambiwa mjieleze jibuni swali hiloo
2026-11-28 06:07:09
74
elizabethwanjik875
Elizabeth Wanjiku :
amefanya registration 🤣
2026-11-28 22:22:02
1
fridahmutinda3
dafry :
kwangu ata siezi kumbali mtu aache ata kiberiti,,,,
2026-11-27 17:26:39
31
momg328
sweet bby🥰 :
kwanza kwann aje kwangu anafata nn lbd kama ndo amenipangishia yeye😂😂😂
2026-11-28 05:57:09
35
user922379530340924
user92237953034092 kanafay💕 :
kama unalipa rent well n good uneza acha
2026-11-27 13:43:28
7
angel.nassary
Angel Nassary :
mwanaume anafata nini kwangu kwanza tuanzie hapo
2026-11-28 04:09:49
35
mamkamary
mamakemary :
kwangu zimemaliza mwaka sasa na simuoni🤣🤣🤣
2026-11-28 05:24:25
19
user5363544223458
Mary Njeri :
mwanaume aliacha zake July nilizipee boyfriend last week
2026-11-28 14:44:18
0
hamisamanara992
Hamisa Manara :
huyo anaraka esbfsukhnnanisskmhebeagesvvs hachelew
2026-11-27 20:15:14
1
ivvkerio
Ivv@kerio :
wangu wote Huwa wanacha boxer
2026-11-27 19:50:21
10
user3341207134882
MAMAKE DANTEZ :
Ana mark territory 🤣🤣
2026-11-28 10:09:25
0
elizzah
lizzy🥰💕 :
making the territory 😂🤣
2026-11-28 12:02:37
0
user1952342716807
zippy23 :
mwingine aliachanga kwangu na akanyanaza three weeks ivo ndio nilipata duster 🤣
2026-11-27 14:46:46
14
user1094240339343
Mc chichari :
amemark territory
2026-11-28 17:24:06
0
shishysuley
shishy suley45 :
embu jibuni alaka alaka atamimi ayo majibu nna kazi nayo bn 🤣🤣
2026-11-28 07:54:27
7
user4441122653074
rachel mluda :
me mwaka wa 5 huu zipo ndani na sijui aliko 😁😁😁😁😁😁
2026-11-27 16:55:37
14
shaniterloveran0
shaniter loveran :
Me nilikusanya zote nikapeleka ofisini kwake😂
2026-11-27 16:43:23
40
josephine.mwikali93
Josephine Mwikali :
Anamaanisha atarudi tena🥰
2026-11-27 13:11:52
31
joypromise6015
joypromise6015 :
inamanishaa hiyo nyumba ni yy analipa
2026-11-27 17:21:38
19
reds9539
Reds9539 :
ni kwake he is marking the territory
2026-11-27 15:46:39
7
zainabuamiri879
Zainabu Amiri :
anahamia uyo 😁
2026-11-28 07:30:59
2
To see more videos from user @rommydee7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About