@klubatozpodcast: #creatorsearchinsights Talent inaweza kukufikisha kileleni, lakini unyenyekevu na nidhamu ndivyo vitakavyokufanya udumu! 🔥 Generation ya sasa ina akili, ubunifu na fursa nyingi. Lakini kuna mstari mwembamba kati ya kujiamini na kujiona bora kuliko wengine. Popote ulipo leo, tambua kwamba wapo wenye uwezo mkubwa kuliko wewe, ila muda wao bado haujafika. Mungu amekupa nafasi hiyo kwa sababu huu ni wakati wako. Itumie vizuri! Kumbuka, watu waliokupandisha ndio wanaoweza kukushusha. Kuwa msikivu, heshimu kazi yako, heshimu watu na usiache kujifunza. Kuna dili ambazo watu wanazipata si kwa sababu wana talent kubwa kuliko wengine, bali kwa sababu ya unyenyekevu na nidhamu yao. Unyenyekevu unaweza kukuongezea fursa, kukuza kipato chako na kukufanya udumu kwenye game. HUMBLE YOURSELF! 💯 Je, unakubaliana na @meena_ally kwamba generation ya sasa ina kujiamini kupita kiasi, lakini inakosa unyenyekevu? Hapa amewataja @professorjaytz na @hemedyphd kama mfano mzuri wa unyenyekevu 🙌 Tazama mazungumzo kamili kupitia YouTube: Klub A-Z #KlubAZ #MeenaAlly #MasomoYaMaisha #Unyenyekevu MaendeleoBinafsi VijanaTanzania Mafanikio Fursa BongoPodcast Tanzania SwaliKaziJibu

Klub A-Z Podcast 🎙️
Klub A-Z Podcast 🎙️
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 27 November 2026 10:08:02 GMT
8411
831
9
25

Music

Download

Comments

prof8850
Prof :
We binti una akili
2026-11-27 16:10:07
4
doctornelly_father
doctornelly_father :
huyu ndio MTU ambaye namkubali Sana
2026-11-27 19:21:49
1
veronica.lukanda
Veronica Lukanda :
Wise and mindful
2026-11-28 04:21:15
0
ladislauspetro0808
Extreme :
asanteh
2026-11-27 20:18:34
0
tottibabu1
Totti B :
10/10
2026-11-27 20:39:56
0
saulisevia
SAULI SEVIA%% :
mungu ninae mjua huu mwezi wa 11 hawez kuacha ulivyo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏imani yako ikumbuke kunifollow
2026-11-27 15:22:29
4
terracore_carservice
TerraCore |AutoSpares & Garage :
✍️✍️
2026-11-27 16:45:06
1
360_pt
PT :
🔥🔥🔥
2026-11-27 12:46:30
1
mohunter8
Mohunter08's :
🔥🔥
2026-11-28 02:38:46
0
To see more videos from user @klubatozpodcast, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About