@jitibu_na_mzee_khalifani: FAIDA NA MATUMIZI YA MTI WA NDULELE/TULATULA/MTUNGUA Ania- MKUBALIWA KATIKA TIBA. (Part, 1) Huu ni miongoni mwa miti yenye maajabu na mtumizi mengi sana katika ulimwengu wa tiba.Mti huu unatibu matatizo mengi sana, yakiwemo magonjwa ya kibailojia, matatizo ya kichawi na kijini. Tuangalie faida na matumizi mbalimbali yanayopatikana kutokana na mti huu. 1.KUUWA UCHAWI MWILINI. Chukua majani ya ndulele kisha yapondeponde alafu weka kwenye maji,kisha changanya na magadi kidogo na jivu la jalalani kisha tumia maji hayo kwa kuoga asubuhi na jioni kwa muda wa siku tatu mfululizo inshaallah utakuwa umeuuwa uchawi huo. 2.KUMUACHISHA MTU NA TABIA MBAYA AU KUMTULIZA MTU. Chukua ndelele saba zilizoiva kisha nenda katika njia panda saba kisha kila njia panda moja ukifika vunja ndulele moja kwa nia ya kumtenganisha mtu huyo na tabia hiyo au kumtuliza mtu mfano wa nia-"Ewe mwenyezimungu hapa ni njia panda sehemu ambapo watu wanagawanyika na kutengana, na mimi nimekuja kumtenganisha furani bin furani na tabia yake furan kuanzia sasa na kuendelea aachane na tabia hiyo au atulie asiwe na papara katika jambo furani" utafanya hivyo katika njia panda saba kisha utarejea nyumbani. 3.MVUTO MKALI WA MWILI. Chukua mbegu za ndulele zianike kisha zisage upate unga wake kisha unga huo changanya na mafuta yako ya kupakaa asubuhi na jioni.Hakika mwili wako utakuwa na mvuto mkali sana. 4.KUPENDA WATU BIASHARA YAKO. Chuma kwa nia maua ya ndulele kisha nenda kaweke katika biashara yako kwa nia ya kufanya watu waipende biashara yako,hakika ni mvuto wa kutosha katika biashara. 5.KUMVUTA MTU ALIOKO MBALI/MUME AU MKE AU NDUGU YAKO ALIOKO MBALI. Chukua mbegu za ndulele zilizokauka,mbegu za mchicha,mbegu za ufuta na chumvi ya mawe.kisha ufikapo usiku changanya vitu hivyo pamoja kisha choma katika kitezo au jiko la mkaa au kaanga pamoja katika chungu au sufuria kwa nia ya kumrudisha mtu huyo kwako.Fanya hivyo kwa muda wa siku saba mfululizo inshaallah atarudi mtu huyo. nitafute 0784847953 +255784847953

Shekh_wa_Tiba_asili
Shekh_wa_Tiba_asili
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 27 November 2026 10:50:30 GMT
13559
556
14
70

Music

Download

Comments

official_dodosophiy
Dodo sophy collections :
Shekh asalam allekum Maua ya mturatura kwenye biashara sehem ya wazi au ata kwenye droo kama kabati
2026-11-28 09:07:26
0
laider912
Laider :
penda shana
2026-11-27 19:28:20
0
yasini.hasani2
yasini hasani :
nimekuelewa shekh wang
2026-11-27 18:07:45
0
bintjumajuma
𝐊𝐇𝐔𝐒𝐇𝐈 𝐌𝐑𝐒 JUMAA :
shukuran
2026-11-27 17:46:40
0
bad_gal_.kariri
🫧car3n🫧 :
Asante sana kipenzi changu.
2026-11-27 13:48:56
0
nee_bae0
Fave_jane❤️🔐 :
shekh njia panda amazon zipo ³ haifai
2026-11-28 08:37:06
0
usrawaridi
usra :
👌👌👌
2026-11-27 13:53:25
0
To see more videos from user @jitibu_na_mzee_khalifani, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About