azan sealink 2 izo raba za kwenye rampo zimeisha izo
2026-11-27 16:48:24
5
Mkaksi06 :
captain ndo anaejua kama chombo inafika au haifiki,ukiona chombo haijageuzwa ujue inafika. bahari ikichafuka sana hzo gari zinafungwa kamba na wanatoboa frsh tu
2026-11-27 19:23:16
2
SHAMSUDIN ☀️🌄 :
poleni san
2026-11-27 17:23:00
0
DC :
Azam Sealink ni gari la ng'ombe silipendi ilo kupanda kwanza hufiki mara
2026-11-27 18:48:08
1
Arafat said :
mawimbi yakiwa makali lazima yaingia hivo
2026-11-27 15:43:17
2
durant kapeto :
meli gan
2026-11-27 18:17:45
0
binseif :
musidanganyane hiyo ni hitilafu
2026-11-27 17:48:42
0
ZUWENA Salim :
hali ya kawaida hiyoo mjomba
2026-11-27 17:55:10
0
Wizzy khalyfa47 :
Aaagh mmbo ya kawaida tu ayo
2026-11-27 18:55:42
0
Bin Abeid 59 :
kawaida 2 hiyoo
2026-11-27 17:40:34
0
Nuru Ally :
watu washamaliza dua apo😂
2026-11-27 19:33:49
0
ramadhan juma :
naiona gari yangu ileeeeee inakufa kwa maji ya chumvi
2026-11-27 19:33:09
0
Khadija Hamadi :
bahari imekasirikaa
2026-11-27 19:33:08
0
Salim Khamis :
naikumbuk na mm sik nilipopanda iy azam ilikua zaid ya ivo yaan nilijut san
2026-11-27 18:33:17
0
Bin Abeid 59 :
mbona kawaida
2026-11-27 17:41:29
0
سعيد said qabous 🇴🇲🇹🇿 :
heeh lini iyo
2026-11-27 14:03:27
0
Arafat de azplicueta :
🤣🤣Azam
2026-11-27 15:06:31
0
binseif :
ipo siku
2026-11-27 17:47:37
0
majidzahor :
ilikuwa inakwenda wapi ?
2026-11-27 17:39:24
0
bayuu 💯💯💯🇹🇿 :
yeah 🤣🤣
2026-11-27 16:28:08
0
bayuu 💯💯💯🇹🇿 :
yeah
2026-11-27 16:27:52
0
Abdulrazaak Mussa :
kama bahari chafu isafishe iwe safi
2026-11-27 15:55:03
0
To see more videos from user @yussuf.danilo, please go to the Tikwm
homepage.