@mcwachuo: #creatorsearchinsights #trendingtiktoktrends “mwanamke akikuvumilia kipindi Cha umasikini na shida zako zote hakikisha siku Ukitajirika unaachana naye Ili aka wavumilie wanaume wengine, atakuja kukusumbua Siyo wanaume wote tuna weza fanya maamuzi hayo ila Mimi nina sababu zangu” Credit @enzoh_deadly and @iam_braine #Relationship #mahusiano #dating
Mc Wa CHUO 🎙️🎤🎧
Region: TZ
Friday 27 November 2026 11:59:17 GMT
Music
Download
Comments
Sweet🍹 :
mwanaume akikusomesha ukipata kazi ..muache asomeshe na wengine 😅😅
2026-11-27 15:03:46
696
baby 💗🥀 :
ambao hatujampenda uyu jamaa mje hapa😳
2026-11-27 14:58:05
927
Baby hu🌹🧚♀️ :
Mimi nikuvumilie alafu uniache nakuloga brooo
2026-11-27 15:20:55
98
Fausta mlole :
ukiolewa na mwanaume akisha toa mahari achana naye akatolee na wengine
2026-11-27 18:44:46
56
Maggy everest :
ningejua ningeipita tu
2026-11-27 13:46:02
166
annunassor :
Sasa kaka je uyo mwanamke akiwa dada yako akafanyiwa ivyo kwako imekaaje
2026-11-27 15:49:12
17
P@mejog :
wachache sana tumemuelewa huyu kaka...😂😂😂😂 in short hutakiwi kuvumilia mwanaume aje tu akiwa amejipata
2026-11-27 15:17:42
70
Asha Ally :
Pombe za bure mbaya sana
2026-11-27 14:22:34
71
Witness Charles :
Mimi nilijua yule kaka ni anko t kumbe ni huyu🤣🤣🤣🤣
2026-11-27 17:32:32
16
mishi chapu😜💕😜 :
Wee broo vipi 😳😳
2026-11-27 19:06:38
0
shasta karina :
utazani lina ongea vya maana
2026-11-27 14:26:32
41
tynambile :
atamwanaume akikuonga sana kilakitu anakupa ukiona maisha yako yakisimama vizur achana nae akaonge na wengine
2026-11-27 16:16:24
11
JANETHI♡♤☆ :
mmmh kama sijaloga mtu jamni awamu hii lbda isiwe mimi
2026-11-27 14:01:40
25
vivian :
weng hatuwez kumuelewa maana tunapank!! anamaanisha usimvumilie mwanaume akiwa na shida maana atakuacha !! tulizen akili ndio mtaelewa
2026-11-27 16:23:07
7
Sabrah Omari :
hakunaaaaa ushindweeee
2026-11-27 19:23:17
0
🦋X-noic 🦋 :
mpaka unajipata me nakuwa wapi🤗 ukijipata na mimi nilishajipata kitambo labda sio mhehe mimi
2026-11-27 14:39:36
16
Ms ngajilo♥️ :
ukisikia haziko zote ndo huyuuu sasaa
2026-11-27 14:37:41
4
Dory dory 😷😷 :
Mwanamke hupaswi vumilia mtu,, muache apambane pekeake,,, niulizen mm
2026-11-27 13:56:38
22
Gianna's Aunt 🍂 :
Tutawaroga sana😂
2026-11-27 14:57:52
5
Its_gee🦋💜 :
Sawaa tumeelewaa😅😅😅 hatutawavumilia tena 😩😅😅🙌
2026-11-27 13:48:28
6
💞💞💦L💞A💕 :
unajielewa kwel ww
2026-11-27 14:15:08
6
DA WARDA 💕 :
mm siniliwabia hawa watu msiwavumilie
2026-11-27 14:02:07
7
petythebos🌸 :
Au n ai 🤣🤣
2026-11-27 15:07:38
1
Lilian keneth :
aiseee me ntatafuta mganga popote nakuloga popote ulipo ukiniachaaa eeh
2026-11-27 19:40:25
0
To see more videos from user @mcwachuo, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.