Mimi niliwahi kumpenda rafikiake babaangu na kuna siku alikuja kulala nyumbn, jmn that night na mama akasema nikamuoneshe sehemu atakapo lala nilikua nahisi baridi mwili mzima 😂😂😂
2026-11-27 18:17:29
98
Manory..og :
M shemeji yangu nampenda hadi naumwa
2026-11-27 18:44:00
8
iam_fathma✨️ :
unasem kumwaga maji masafi mi naenda dukan kabsaa....n cjui naend nunua nn😂😂😂
2026-11-28 07:13:26
11
Rarah❤️ :
Aweeeeee jaman achaaa nilimpendaa mkaka mmjaa hv anaitwaa frank achaaaa bas kuna siku aliniitaa si unajuaa ukimpendaaa mtuuu unavyomuangaliaa yulee kaka akanambiaa nmekuitaa nikukumbatiee naendaa jeshini🥺🥺🥺 karud kankutaa nna mpenzi mwingine😅😅😅😅😅
2026-11-28 11:28:15
11
Ur gurl Capricorn ♑️ 🤍 :
Niongee kwa kukaa au kwa kusimama😂😂😂🙌🏼
2026-11-27 20:23:08
16
smart :
vile mama yangu ananifokeaga 🤣 naogopa kutembea na mtu ambae nakae nae mtaa mmoja ,sitaki mchumba angu aone navyofokewa😂😂
2026-11-28 10:16:41
3
JAY COSMETICS ZANZIBAR 🌸🍂 :
Alloooh usinikumbushe enzi hizo nimempenda mtoto wa darasa la saba aloooh nimekufa nimeoza noma.nikimuona tu moyo unastuka yooooh 🙌
2026-11-27 17:34:14
35
🎈Kareem Zaib😮💨Jabir🤴 :
My situation currently🤌😂😂😂😂😅😅
2026-11-27 22:09:12
0
🦋Aiem~Nana🎀❤️✨️ :
ili mradi tuu akuone😅😅
2026-11-27 19:30:39
12
🦋It’s Naah🦋🎀 :
Me kiufupi tuh nikiskia mwanaume ana pesa na anahonga nampenda jamoni🤭
2026-11-27 20:30:35
4
Rayhina♓️ :
😂 siyo saut perfume oya siyo pw🙌🙌🙌
2026-11-27 19:55:19
11
champion kid :
najua aiwausu lakin nmeipita miambir chin kwa vgezo znkuaga za Majin nmekaa zangu geto njaa imeniuma nmekumbuka ile miambir nmelud pale nlipo Iona wamepita nayo dah dunia inawatu wqbaya mnaokota mpaka miambir
2026-11-27 17:35:16
2
fizzeboe🤾 :
Hyo imenitokea leo nmeenda kuotea jua nje na joto hili😃
2026-11-27 15:52:22
6
Vanessaᥫ᭡ :
Kipindi hicho 😂 npo sekondari nilikariir ad mida yake ya kupita nyanya home
2026-11-28 04:58:26
2
Ketty🦚 :
Yaan hiyo inanitesa mpk sasa
2026-11-27 19:36:14
1
ZAHRA ❤ :
Napenda ninapopendwa sipendi kuumizwa 🥰❤️
2026-11-27 20:35:26
1
亗 ANDREW......✍️ :
mm na Jilan yangu 2024😁😂
2026-11-27 23:59:22
2
Zero Pressure 🥹🥰 :
Mm adi tulikua tunavaa matching colors mpk watu wakajua😂😂
2026-11-27 20:13:36
1
Janery_127..!!🌹💔 :
isikukuteeee
2026-11-27 18:37:57
1
ma subira :
Mimi hapa na kwasas ame nitelekeza na mtoto☺️☺️na kaowa mwana mke mwengine
2026-11-28 05:48:52
1
Ayshacute30🥀🦋 :
mamaeeee adam kipindi nasoma nikirudi shule navua nguo za shule hata kula sili naenda shinda kwao siku nzima mpk usiku narudi home 😂😂ila utoto
2026-11-27 17:14:08
2
MISHELLY_official :
natafuta lafik 😔😔😔😔
2026-11-27 17:24:01
0
Ikhtisambibu81 :
Mm saiv nmemuoa rafk yak wa karibu fear women😂😂😂
2026-11-28 11:46:57
0
walalo f baby :
2026-11-28 11:33:39
0
iam Jessie💖🦋 :
Kam hujawah kupenda huwezi kuelewa😂
2026-11-28 12:49:29
0
To see more videos from user @saimon_749, please go to the Tikwm
homepage.