@adv_franciscomwangulube: #viraltiktok #legaltalk #muulizewakili #sheria #trendingsong

Mwanasheria Media
Mwanasheria Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 27 November 2026 15:38:49 GMT
19235
852
79
306

Music

Download

Comments

athumanathuman042gmail.c
athumanally905 :
kwamfano kama miaka33 hiyo miaka ikiisha unaomba hati nyingine au.
2026-11-27 18:43:57
3
itschidhood
Chidhood :
wizi tu hamna lolote mikakati ya kujimilikisha ardhi
2026-11-28 14:48:42
1
zainabum10
LOVELYTZ🙏🦋 :
Kiwanja changu nimenunua kwa pesa yangu halafu 😂😂😂 nyie
2026-11-27 20:32:06
2
tiffah09
🧕⭐️🤑(لٓطِيفٓة) :
ME NAONA NI JAMBO LA KAWAIDA SEMA NAWALAUMU SANA VIONGOZI WA ZAMANI MAANA TULIISHI KWENYE MFUMO WAKUZIANA ARDHI KINYEMELA YAAN SHERIA KAMA HIZI HAZIKUWA ZA LAZIMA KAMA SASA HIVI NDIO MAANA WATU WANALALAMIKA SABABU SHERIA ZINAKUWA KAMA MPYA TUMEZALIWA TUMEKUA KWENYE MFUMO TUSOJUA SHERIA ZA MAMBO NDIO MAANA KILA KITU KINACHOTOKEA SASA TUNAONA KAMA TUNANYANYASWA
2026-11-28 05:11:21
1
jane.joseph029
Jane Joseph :
Sasa kama ukubalian na yaliyoandikwa unafanyaje na wakati imeshatengenezwa?
2026-11-28 05:51:24
1
sharifa_750
sharifa :
tuelekeze jinsi ya kulipia bila ya kwenda wizarani
2026-11-28 06:51:06
1
fabianaloyce120894
FABIAN ALOYCE :
Naamini Sheria zetu za Ardhi hazipo sawa
2026-11-28 04:36:00
1
user61418175139342
Sengobad :
Je mimi kama ni mmiliki wa 3 au 4 hiyo miaka 33 au 66 au 99 inaanzia wapi na ikiisha hiyo miaka ya umiliki nini kinatakiwa kufuata
2026-11-27 18:46:34
1
angelista.kaishoz
Angelista Kaishozi :
Kwaiyo kwamfano nikiandika myaka 99 kwenye aridhi yangu na nokafa kabla ya apo nikaachia meithi wangu anakuja kuanza upya au anaendeleza nilipo ishia? na je kwenye izo fom kinaandikwa Kwa rugha gani
2026-11-28 11:52:39
1
con.b794
Con B :
sifa gani zinamfanya mtu aamdikiwe mmiliki wa miaka 33, au 66 au hiyo 99?
2026-11-27 19:03:08
1
salmanmagwe
MAGWE :
KUNA MATATIZO MAKUBWA MNO KWENYE SHERIA ZA ARDHI,UNAMPORA ARDHI ALIYEINUNUA?MMEJIPA MAMLAKA MKUBWA DHIDI YA WANANCHI
2026-11-28 03:22:57
1
nyangwiza0
mj@double2 :
Na tukikuta ni umiliki wa muda mfupi tufanyeje
2026-11-28 05:35:00
1
endaeli0
miss@lin/blessed hands :
Hii sheria ni yakuanzia mwaka gani maana nshavurugwa na nipo mbali🙆‍♀️🙆‍♂️
2026-11-27 23:39:18
1
babamamawatoto
Lily family :
na wenye aridhi za urithi msituchanganye
2026-11-27 21:07:57
1
oscarhananda
Oscar Hananda :
nimesikia nakuelewa sasa mkuu mbona kama shelia imeweka mariti magumu? na kunashelia ningumu, sasa kama wasomi washeria mnatusaidiaje ili kusaidia watu wachini
2026-11-27 21:15:12
1
binamu.yamin
Binamu Yamin :
asante
2026-11-27 23:38:14
1
pendo.gidion14
Pendo Gidion :
2026-11-27 19:37:30
1
user61418175139342
Sengobad :
kwanini muda wa umiliki utofautiane
2026-11-27 18:43:50
1
lizzymwaibosi
lizzymwaibosi :
daaa asant kaka umenifungua nipo kwenye mchakato huo🥰
2026-11-27 18:39:36
1
msafirimwambela71
msafirimwambela71 :
kwa mtindo huo maskini asubri uongozi mwingine sio huu hawezi jenga
2026-11-27 20:26:57
3
user6761717227228
DKT KAMSHANGE :
nam kk mm nimekufatilia sana mm nimezulumia nyumba imeuzwa na mahakama tumefatilia tuliambiwa pesa IPO hazina je Kuna mausiano Gani kati ya mahakama na hazina na sababu ya kuuzwa nyumba Kuna jamaha aliolea kwenye familia yetu baadae akamuacha ndungu yetu yeye akagoma kutoka pale akadai tumpe fidia ili atoke pale akaulizwa wewe ulikua unakabule hp fidia ya nn akaenda hakamani hamakama ya mwazo ikaukumu tumlipe pesa 7,16000 kesi ikaenda mahakama ya wilaya ika hukumu tumlipe 2,90000 kesi ikaenda mahakama kuu mahakama kuu ikaukumu ikakata hukumu ya mahakama ya wilaya ikapitisha ukumu ya mwanzo tumlipe iyo pesa 7,16000 kabla ahijafika siku ya kulipa mahakama imekuja kuuza nyumba Hadi Leo kk atujui je deni tulio daiwa ndo imelipadeni na km imelipa deni familia atukuusishwa km familia tulipo fatilia tukagundua kua kunaujanja ulifanika Kuna kampuni inayo jiita msolopa Sasa kk nyumba Iko manzese palepale dalajani mm nitakupigia nilikupa km dokezotu 0785609274
2026-11-27 19:15:02
1
dr.maulana2
A.P.M.T. :
wakili nakuuliza jee? naweza kudai fidia mahakamani kwa mtu alinidhulumu pesa yangu nilikuwa nimempa pesa ili baada ya mda wa mwezi akanidhulumu
2026-11-27 17:14:12
2
usekipada
Giovanni rana :
sawa kaka
2026-11-27 17:41:46
1
babamamawatoto
Lily family :
ndio maana tunahitaji katiba mpya
2026-11-27 21:06:42
1
rk35020
katoto bk :
ahsante kaka
2026-11-27 17:15:46
2
To see more videos from user @adv_franciscomwangulube, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About