@mrdonnymumdhir: iyooooo ndiyo Pemba

MrDonny
MrDonny
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 27 November 2026 16:15:21 GMT
55522
3736
251
501

Music

Download

Comments

abdulrahman.yussu0
CUTE D❤️❤️❤️ :
Halaf mama nyumbn ananifukuz nikamtafute mwanae eti hajala tangu asubuhi😏
2026-11-28 08:26:23
374
husnacty1
Husna juma :
ndomna wanangu wakitoka saa 1 asubuhi mpka saa moja jioni😅
2026-11-28 07:43:11
140
makaidailydeen1
MakaiForDeen :
Chakula ya ivyo hatakama haijaiva unakuta ni tamu balaa
2026-11-28 11:38:38
64
omar.muhabeshi
Omar muhabeshi :
Shulee zina funguliwa lini mana tume choka tena hee
2026-11-28 03:55:08
85
minart646
muslim girl🥰🥰❤ :
walim wakiona hivi wanataman january isifike😂
2026-11-28 07:50:19
36
patricious22
patricious02@ :
Hii inaitwa changa ule
2026-11-28 10:59:45
16
nadirvrs001
vrs001. :
Hizo sufuria mungeziweka chini kwanza, nahic km zitaanguka halafu mm nitalia 😂😂
2026-11-28 06:27:37
48
luv_corruption13
CORRUPTED MIND :
boys will be boyz
2026-11-28 18:18:38
0
harith5280
Muzhar :
kam bilisi kashindwa tutawez sisi
2026-11-28 17:53:20
1
user5818661045125
rayyan :
walimu mwenzangu mupo humu🥰🥰 ila tuseme ukweli bila ya zogo la wanafunzi huwa tunajihis hatupo sawa😂😂😂
2026-11-28 08:25:50
7
mai_spac
mai_spac🫧🦋 :
we all love food, right?❤️
2026-11-28 16:44:12
2
wadubai40
wadubai🇵🇸💸 :
Nishajua kann hawapend ugali😅😅
2026-11-28 09:58:00
5
user9590583205732
mussa officialtz :
mm nina ulza jamn kwan ni wali au ugari
2026-11-28 07:19:51
1
tayanasao
tayanasao :
Shule mpaka zifunguliwe tutaona mengi😂😂 na masufuria wametuibia 😁
2026-11-28 17:16:03
1
beingleilah
lee :
sema nimevipenda
2026-11-28 11:34:07
6
fey_king
YAMAGUCH TZ🥏 :
Kwan yanga wamehi kutoa pens za jinzi na hamsemi😂
2026-11-28 12:33:02
3
mamajessy
vegalicious💝 :
safi sana😂 na wameweza kupika mboga vizuri , hapa mama zao wakienda vikoba wakirudi wanakuta ugali tayari.
2026-11-28 09:27:32
1
aslayjr4
young sulesh :
madogo mmeweza sana
2026-11-27 23:01:26
5
chagusera5
🍁🍁 CHAGU MASTER 4🫵🍁🍁 :
Kwan yanga wamehi kutoa pens za jinzi na hamsemi😂
2026-11-28 12:48:08
0
mamy.ruu852
Mamy ruu :
enzi zangu ivo kijungu nje sielewi
2026-11-28 11:41:26
4
emmanuelsasuka
Emmanuel Sasuka :
ndo maana dogo sijamuona mchana🤣🤣🤣🤣💪💪💪👍👍
2026-11-28 13:45:24
1
user3062033991940
chammy :
He na mm ilikua enzi zangu izo
2026-11-28 13:30:52
0
abdullatif35443
ABDULLATIF :
kwani shule zinafunguliwa lini
2026-11-28 10:46:36
1
iyahtiktok.comnasriya.ha
iyah mapigo😍😍 :
hhhhhhh😁😳
2026-11-28 12:06:40
1
birdyboy45
𝗕𝗜𝗥𝗗𝗬_𝗕𝗢𝗬_🦅 :
2026-11-28 06:01:10
5
To see more videos from user @mrdonnymumdhir, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About