@leonardofficial01: Kuna watu hawana mali nyingi za kukupa, lakini uwepo wao unakupa amani ambayo, Fedha haiwezi kukununua. BADO TUNAENDELEA NA MKUTANO WETU NDANI YA JIJI LA DODOMA.

Leonardofficial01
Leonardofficial01
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 27 November 2026 17:31:09 GMT
209261
29609
765
846

Music

Download

Comments

user43347580434052
eliza8 mtoni :
huyu dada ndo mwenye furaha na ndoa yake
2026-11-27 18:15:10
267
elizabethleonard.01
ELIZABETH, LEONARD :
my husband ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
2026-11-27 17:45:55
526
sharifambarwa
Mama s :
Hapo dada utaishi miaka mingi bila presha Wala kisukari uliwaza mbali sana
2026-11-27 18:33:33
250
user353109510823568
Grace dominic :
na Kuna mm apa nachangua 😅😅 nitakufa vibaya sana Naona
2026-11-27 18:37:39
41
mirrystore
Mirry Store🛍️ :
nina swali
2026-11-27 19:57:24
9
s.suzy.sus
Suzanne :
mwambie Mume wako akubebe my
2026-11-27 19:46:49
20
coesileeee
Nasimama katika Imani :
mhhhh nimejikuta nalia namimi sijui lini Mungu atanipa mme hata mfupi
2026-11-27 19:08:33
81
finadanielfinadan
lady fina :
apatae mke apata kitu chema ndoa naiheshimiwe na watu wote aminaaa 😁😁😁😁
2026-11-27 18:23:01
129
aliko.mwandelile
Aliko Mwandelile :
🤝🤝🤝🤝🤝🤝nawaombea sana ndugu zangu wenyewe Mungu awalinde sana sana sana sana sana
2026-11-27 18:01:51
44
dayanadee891
dayana outfits and PUB arusha :
Nikiendelea kuchagua ntazeeka au kufa kabisa nikiwa sina mume😅
2026-11-27 18:07:33
31
user7871782950267
nuruanna :
mama mchungaji unazidi tuu kunoga ❤️❤️
2026-11-28 03:56:00
5
justin.george08
Justin George :
GLORY TO JESUS AMEN 🙏🙌🙏💖
2026-11-28 06:05:28
0
user6124332081106
Ms.Penny❤️....Adorable🥰....💫 :
Ukisikia fanya maamuzi bila kuangalia nyuma ndo hii sas🙌🙌
2026-11-27 19:20:42
6
unieuniq0
UNIE COSMETICS 🌸💄🛍️ :
Someni comment ya suzanne 😂😂😂😂
2026-11-28 09:32:41
0
mkami.furnitures
MKAMI FURNITURE DESIGNS :
i love you guys
2026-11-28 07:14:33
0
salomeshinje
clara :
nice couple
2026-11-28 07:36:55
0
getrudambogo667
Getruda Mbogo :
waooooo
2026-11-28 05:31:47
0
judithmapasa
user9522239575081 :
oooo nikweli
2026-11-27 19:20:33
0
emmanuelzabron523
Emmanuel Zabron :
Mungu nihulumie nachokiwaza
2026-11-27 19:19:08
6
babynyla15
babyNyla15 :
tumwambie ukweli jamaa au tumuache kwanza😂😂😂
2026-11-28 03:48:23
6
jenipherkimath242
jenipher :
sijui kwa nn siwez kumshonea bwanangu shat ya kitenge tuvae sare siwez
2026-11-28 05:25:29
5
user8greyson119443719280
Mama.G :
tunatak wajukuu ssa mwaka. ssa umepita
2026-11-27 19:22:25
7
mariamale72
mellah :
mungu awalinde vipenz vyangu
2026-11-27 19:12:56
8
nayceofficelly
Mat :
😁ndoa na idumu amina😁😁😁😁
2026-11-27 18:30:54
12
grace.z11
MRS, MAIGE Orignal🥰🥰 :
nimegundua furaha yang ni ndoa yenu
2026-11-27 17:45:20
9
To see more videos from user @leonardofficial01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About