@kasulu_driving_school1: Utofauti uliopo Kati ya Alama ya kivuko cha watembea kwa miguu kinachopwtikana katika kundi la onyo na kile kinachopwtikana katika kundi la Taarifa na uelekeo. Tupigie 📞 0659241282 ☎️0755908094

kasulu_driving_school1
kasulu_driving_school1
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 27 November 2026 17:44:51 GMT
91711
6852
73
198

Music

Download

Comments

christiansimbaa20
christian simbaa :
afande izo za duara sio onyo ni za kukataza 😂
2026-11-27 19:43:58
11
abubakarseleman24
mawigi :
nyie mbona amsimami
2026-11-28 05:45:49
3
calvincalvin2719
Calvin~🦅 :
Huyu angekuwa Mwalimu wangu tangu primary, Nina uhakika saiv ningekuwa polofesa 🫡
2026-11-27 20:03:00
5
mgungub
mgunguB :
Hapo Hicho kivuko chenye umbo jekundu inamana Onyo Tahari mbele kuna kivuko cha Watembea hilo umbo lenye Brue hiyo ni alama ya Amri inakuamrisha kusimama coz ndio sehemu tukio lilipo na sio Tarifa alama ya Tarifa
2026-11-27 18:59:29
2
khamis.uddi
Khamis Uddi :
Mwalimu hiyo ulionyesha mwisho sio alama za onyo ni alama za amri kukataza
2026-11-28 05:43:16
1
nasri.mpagama
Nasri Mpagama :
afande mungu akulinde sana hii itasaidaia sana
2026-11-27 19:55:38
1
businesscanada1
GOD FIRST :
AFAND NTIBAKYENDA awezi nikumbuka Tena kitambo sana mtu Safi sana Ila kwenye pesa mmmhhhh
2026-11-27 23:56:14
1
peterkibuga
Jr05 :
sijawahi kutembea kwenye kivuko cha waenda kwa miguu mm nikifika pale kushoto kulia hakuna gari bac mbio tu 🤣
2026-11-28 06:39:05
0
josh00233
josh :
kwel kamanda tufundishe tulelewe vyema
2026-11-28 16:33:42
0
alex_oscar22
Alex Oscar7 :
alama za amri co onyo umeteleza mkuu
2026-11-28 14:18:19
0
bupina1
Brayan@Alex og :
ahsant saaana kwa utoaji elimu wenu mzurii
2026-11-27 19:28:44
1
almasikasagi
Almasi Kasagi :
namkubali sana hutu afande kwa kuelimisha
2026-11-28 12:58:03
0
cherry92348
cherry :
sahv imebidi kwenye njia za vivuko vya mwendokasi njia ya airport akae polisi kupush magari yatembee, wavulani wasubir, maana zebra Sasa ni sehemu ya foleni na daladala kupakia na kushusha abiria
2026-11-28 09:01:04
0
user50572261026974
user50572261026974 :
nkbr sn afnde ntib@
2026-11-27 20:09:44
1
abellpetro
abell petro :
nataka mafunz wap
2026-11-28 14:08:09
0
babanill6
BabaNILL :
mwanzo nilijua tu ukijua kuendesha gari basi inatosha na kutafsiri alama kumbe sivyo..JAMANI TUSOMENI
2026-11-28 08:32:05
0
pauloibrahim715
Paulo Ibrahim :
shule gani hii kiongoz
2026-11-28 12:55:33
0
kingdaniel511
king_daniel :
afande anafundisha vzr
2026-11-27 17:58:52
0
comment.truck.d
Comment Truck D :
alama za uthuli hawaweki kabisaa kwenye barabara
2026-11-28 07:02:32
0
francismcharo8
francismcharo8 :
hivi veta kazi yake ipi
2026-11-28 06:26:09
0
_traveler47
Maxwel Davis :
Kwani Zebra cross ambayo haina taa na sioni mtu akivuka natakiwa kuslow down au lazima nihakikishe nimesimama?
2026-11-28 16:49:56
0
goodluck_nyema
G Nyema :
sahihi
2026-11-28 16:47:21
0
stansla2
stansla2 :
naomba namba za chuo
2026-11-28 06:28:30
0
sunday.ss.ss
Sunday Jr 8 :
mkuu Asante
2026-11-28 07:36:03
0
mohamedchota8
MUDDY HIGHWAY GHOST 🫡🫡🫡 :
nakubali
2026-11-27 19:14:47
0
To see more videos from user @kasulu_driving_school1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About