@smilekeofficial: a'mthecareless hii kimbelembele ndio sipendi.... anyway finya hako ka like na follow button for more exclusive contents😂😂😂🫵#kenyantiktok🇰🇪 #trending #meme #humor #fyp
nililetewa maji ya keringet 300ml place fulani pale runda😂nikapeana punch wakanirudishia 25bob💔, sijewai recover hadi waleo
2026-11-27 18:51:59
304
It's Vin :
Nakuru nlikula kuku kubwa ya ajabu.Bakuli kubwa naambiwa ni ¼.Naikumbuka tu nashindwa n nini iyo nlikula 😅
2026-11-27 19:34:49
240
moseongao :
cafe fulani huku nyali mombasa, ghai.. a cup of tea na sausage mbili, 1,800. nikafuliza. aaah, very sad
2026-11-28 04:25:58
75
Kwamboka Sonia :
hesabu number za till number Alfu uhesabu na letters zenye jina William
2026-11-27 18:10:17
46
miriam mariam :
nakuru nail it
2026-11-27 19:17:44
0
the_neglected_professor :
Huku Nakuru bora uko na 50 bob,uko sure na supper siku tatu
2026-11-28 06:30:48
60
johnsdewambia :
hii niliokota pahali mpaka nikaanza kujiuliza kama hawa watu tunaishi Dunia Moja wallahi!
2026-11-28 09:11:18
18
mejja sam :
.itabidi niende nakuru one year na nusu.nikikunywa tu chai
2026-11-27 18:47:44
98
🤴 KING👮 LEMMY JP🫡 :
Nakuru all the way
2026-11-28 16:12:01
0
Leonardhkem :
this more dangerous than dangerous itself 😂😂😂
2026-11-28 15:12:34
0
The Gunner ❤️🤍 :
Nakuru nilikula punda msee uskii imejaa plate 50bob na ugali na mboga weeeu nikajiambia hapa ndio nitakuwa nakuja daily siku moja nimeambia beshte yangu kuja nikushow base ya nyama mob ugali na greens kufika besthe yangu ananiambia hapa wanapikaga punda mzee 😳sijawai heal
2026-11-27 20:31:14
45
Cavine :
Hiyo 500 ukiwa Nakuru ukiitisha nyama ya kuku unaletewa nyama ya flamingo plates nne na uongezewe maji chupa tano ya Solai😅😅😅
2026-11-27 20:37:47
19
Zeituni :
Aty amethani ni till number never saw that coming
2026-11-28 09:58:04
0
Josekim :
mm nilienda kunyolewa nikapeana 100 ningojee 30bob change nikaulizwa kama hio 900 ninatuma na simu😭Ni uchungu sana
2026-11-28 09:30:58
12
Nandi Gal :
sikumbuki ni wapi Nairobi but nilitisha kuku 1/4 na chips nikaletewa bill ya 500 nikamshow waiter hio sio yangu akanijibu bill ni yangu niaje ujinga..nilikuja Kuona hio risiti kwa gari ilikua inasoma something like sijui chava
2026-11-28 14:49:15
6
The Russian Guy :
kuna place hapo kakamega inaitwa Masigo. ugali mlima na nyama ni 15bob. ustake jua ni nyama ya nini🤣
2026-11-28 12:45:44
6
Ciyaarta jooji :
The funny part is the first comment, ati nimeletewa bill nikidhani ni till number 😂🤣🤣🤣😂😂😂
2026-11-28 11:27:00
1
Yobra254 :
Wasee wa Blue Room say hiiiii
2026-11-27 19:56:25
1
Scaffold for hire📞0741039886 :
nliitisa chai na tuvitu twingine hapo ATI n breakfast huko BBS Mall, nakapeana Thao nikingojea kaa 600 nikapatiwa change 30 bob nikwamwambia waiter akae nayo, adi nikaklick😂😂
2026-11-27 19:00:26
25
bashan locs nyeri :
tilitisha ugali beef watu wawili Paul cafe airport na coketail nikaletewa bill ya 5100 nikafaint
2026-11-27 18:45:59
56
God help me :
Nakuru nayo ni ukweli😂😂😂😂 mm nilidhan 1 k...Bill inakuja 300
2026-11-28 04:15:38
5
blessed philip :
yaani comments zenye ziko hapa nacheka hadi nimekaa fala kwa watoto na mke wangu kwa nyumba ,hadi watoto wanauliza mama yao eti kwani dad amejizi
2026-11-27 20:41:37
8
Vinny Msafi :
Kuna place nilienda kushave nikapewa coffee kwa tumbler, nikienjoy free wifi the rest was... ni uchungu guys
2026-11-28 06:09:08
24
Emanuel Simel,, :
🤣🤣kuna place fulani apaa loitokitok nilikunywa chai na nilikua na 20 aisee nilienda jela joo 500 kama auna 1 yeah prison 😂 nimbaya kwaivo usistuke tumezoea banaa
2026-11-27 19:21:04
5
sweet poison ✨ :
mi nilikula samosa Na masala tea 3k sijaheal🤣🤣🤣
2026-11-28 06:12:49
6
To see more videos from user @smilekeofficial, please go to the Tikwm
homepage.