@taimediatz: #HABARI Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando, amesema hatashirikiana tena na Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam, akipinga ubomoaji wa vibanda vya wajasiriamali vilivyokuwa vimejengwa eneo la Mbezi kwa Msuguri. Vibanda hivyo vimebomolewa usiku wa kuamkia leo, Novemba 27, 2026, hatua ambayo imeibua malalamiko kutoka kwa wajasiriamali waliokuwa wakivitumia kujipatia kipato. Akizungumza na wananchi hao, Msando amesema hakuna maelekezo kutoka kwa viongozi wakuu wa Serikali yaliyotolewa kuhusu ubomoaji huo. Aidha, ameliagiza Jeshi la Polisi kupitia Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni (RPC) kutotoa vibali vya ulinzi kwa mtu yeyote atakayetaka kufanya ubomoaji wa vibanda hivyo. ✍🏿 @mariamshabanitz #taimediatz #taimediatv
taimediatz
Region: TZ
Friday 27 November 2026 18:18:03 GMT
Music
Download
Comments
abdallah25455 :
Meneja mkoa Tanroads awajibishwe alipe gharama zote
2026-11-27 21:32:38
2
Roza Collection's🌹 :
Tanroads pia ni serikali Sa itakuaje?
2026-11-27 22:18:55
2
Richard Mlowola :
😂😂😂 nacheka kama mazur aise
2026-11-27 19:55:33
2
Mariana Aminiana :
morogoro road wameuza maeneo yote wanajenga sheli
2026-11-28 11:38:26
0
fm_digital1 :
watanzania tufike mahali tuache kudekezana
2026-11-28 11:18:33
0
idrisa trucks 🦺🦺🇹🇿🇹🇿🚥 :
jamaa jau sana hao
2026-11-28 08:26:18
0
star :
je mifumo haisomani,???tnroad wanatoka wapi???
2026-11-27 21:38:18
0
Fahami Abdallah :
sio vizuri kuvunja biashara zawatu wanajipatia lizik bila taarifa
2026-11-28 07:16:34
0
isayaedwardmareal :
nchi inanuka rushwa nchi Sheria hazifuatwi nchi Kila mtu anazungumza kwa niaba ya serikali nchi Haina wa kutoa maelekezo
2026-11-28 08:29:26
0
SHI 💜HONEY 😅(MNEC)❤️ :
msikilizeni ata wapoteza
2026-11-28 03:56:05
0
Edi :
hapo hakuna ujinga kauli siyo ya kiserekali mkuu Mimi raisi wangu nampenda sana ila hapa ni barabarani sana ni pachafu sana ni sehemu hatari
2026-11-28 02:50:35
0
IMA² :
asnt
2026-11-28 09:34:43
0
Me jack 🦺⚡️👷🏿 :
Meri ilogonga mawe mwanza mkuu wa mkoa alisema ilikuwa kwenye majalibio serikali ikamsimasha kazi nahoza 😂😂😂😂
2026-11-28 08:27:46
0
Dylan mussa Emmanuel :
wadanganye hivo hivo... maana wana hasira sana na serekali hii so we namna ya kujitetea ni kujidai upo upande wao.. haiwezeni useme hivo bila kuwawajibisha wahusika.. alafu hayo yametokea kila kona hata mikoani wiki hii watu wapo kwenye maumivu...
2026-11-27 21:21:48
0
Daniel Frank :
ccm hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mitano tena
2026-11-27 19:43:17
0
MSOFE TZ :
siasa2 izo
2026-11-27 21:07:04
0
Mariana Aminiana :
yale yalikuwa ni maeneo ya watu wanauza wanajenga mashel
2026-11-28 11:39:11
0
SHI 💜HONEY 😅(MNEC)❤️ :
unatengeneza content DC
2026-11-28 03:56:25
0
🏳️🌈Lee jr samba🏳️🌈 :
sikuelewi
2026-11-27 20:58:58
0
saleheabubakary :
kuna watu wanatuonea wivu kuwa na kiongozi anae tetea wana nchi kwenye wilaya ya ubungo
2026-11-28 11:39:27
0
DMA. :
Sijui kwa nini nchi hii tumekuwa wajinga wajinga kiasi hiki.
2026-11-27 20:06:08
0
""The Matthew Jr"" :
Tanroad amaeteuliwa na raisi au nani,hiyo hawezi kujali hali ya wananchi kwakuwa hayupo hapo kwa ajili ya wananchi. Ushauri wangu ni hapao chini kuelekea Katiba mpya 👇👇
2026-11-28 06:44:50
0
user2567287565569 :
acheni uongo mnazuga tuu mnaanzisha matatizo ili mpatie pakusemea Yani mnajitekenya wenyewe na kucheka nyie
2026-11-27 18:23:46
3
Zahoro Digallu :
mbona mkuu wa wilaya ya ilala anakamata machinga
2026-11-27 21:33:40
0
maige mpassa :
Na mnapiga makofi kabisaa ...bado adui Ujinga anakuja Kasi Sana zama hz ....mita 5 Toka hapo kuna kituo cha mafuta hv hawajakiona !?
2026-11-27 19:26:00
0
To see more videos from user @taimediatz, please go to the Tikwm
homepage.