@oyaajamaaa: @Ahmed Swaleh Backup

Ahmed Swaleh 🌎
Ahmed Swaleh 🌎
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 27 November 2026 18:45:12 GMT
28211
2656
339
60

Music

Download

Comments

jumafaki23
Juma faki :
Niliwahi kusikia Historia kwamba Mombasa yote Hadi Lamu ilikuwa ikiitwa Zanzibar na Sarafu ilikuwa inatumika moja tu.
2026-11-28 06:57:19
36
ibraah.hinai
Ibraah hinai :
Zanzibar na lamu kitu kimoj hat mm nipo Zanzibar lkn natmn siku Nije lamu
2026-11-28 06:07:20
22
fahadgeneraltraders
FAHAD GENERAL TRADERS 🇹🇿🇨🇦 :
lamu Ni sehemu ya Zanzibar
2026-11-28 03:16:35
20
alharamain066
zaahid :
😂 kuna wa kenya wakiambiwa mombasa ilikua,chini ya sultan ya znz
2026-11-28 08:08:16
8
drash270
DRASH :
LAMU AND ZNZ JUST THE SAME
2026-11-28 14:48:55
1
moficcollageofsuc
Mr mofic :
shida mkuu hujapewa historia ya Zanzibar ya kweli . Zanzibar kwanza ujue ilikua ni empire kwa maana eneo kibwa lenye kumilikiwa na mfalme sio raisi so mwambao woote wa afrika mashariki ni mamlaka ya Zanzibar nazo ni Mombasa lamu,dar-es salam,Tanga na maeneo ya karinu na hayo ilaa ndio ukoloni sasa ukagawa mipaka baada ya sultan wa Zanzibar kudrop down, unajua mkoa dar es salaam yote ni Zanzibar so ata huko lamu ni Zanzibar ndio maana same kwa kila kitu ata lugha ulizia wahenga wa nchi yako mkuu watakuelimisha.but I appreciate vile unafanya
2026-11-28 09:39:04
6
user512540735558
user94149829659 :
mjini zanzibr hamna punda cz government hawaitaji
2026-11-28 04:11:25
8
saidi_182
saidi_182 :
Zanzibar mji mkongwe
2026-11-27 23:46:23
7
salmd5076
Salum Ridhwa :
Zanzibar kuna forodhani na Lamu ipo pia
2026-11-28 04:12:01
7
abuuutedi
tedi jr :
natamani kufika home lamu lkn sijui nianzie wapi babu yetu asili yake ni uko ila alikufa miaka mingi natamn sana nije uko lamu 😢😢
2026-11-28 07:03:27
5
herson_habshy
Herson_Habshy :
mombasa pia iko milango kama hii maeneo ya kibokoni
2026-11-27 19:22:34
10
jicho1236
jicho123@ :
hapo forozani
2026-11-28 09:46:10
1
samiramohamed1793
Samira Mohamed :
its almost the same
2026-11-28 13:25:52
0
jabryy
Jabryy :
ni almost same...milando,... architecture of the building, peoples, narrow strees, mosques
2026-11-28 07:46:19
1
abdullzenji
abdullzenji :
Yaani Lamu ni Zanzibar kabisa tofauti yetu ni Punda tu, Zanzibar stone town hatuna Punda
2026-11-28 11:10:12
2
imrankhamis5612
Imran Khamis :
kwl sheh wangu
2026-11-28 11:25:07
1
user1632126868704
user1632126868704 :
kwel
2026-11-28 11:23:36
1
mwat3333
mwat3333 :
iyo ni zanzibar kabisa
2026-11-28 10:15:01
1
abdul.hafidh02
Abdul Hafidh :
Zanzibar 1
2026-11-28 09:21:41
1
harounalnabhany
Haroun Alnabhany :
Tunafanana lafdhi na hata watu wa lamu wana uhusiano wa udugu wa damu, Zanzibar kuna wagunya wengi sana, hata mm asili yangu ni lamu ila nna vizazi zaid ya 7 hapa Zanzibar
2026-11-28 12:11:58
1
sabra.mohammed85
Sabra Mohammed :
Zanzibar hakuna punda
2026-11-28 09:38:14
1
himziiy4
Himziiy :
lamu ni Zanzibar...kihisoria 📌
2026-11-28 08:48:20
3
suleimanmohd425
suleimanmohd425 :
Mimi niko Zanzibar lkn Zimefanana sana sana
2026-11-28 09:59:50
3
sumally26
Suma LEY199 :
Iyo lamu iko nchi gan me sijaijuwa
2026-11-28 08:33:38
1
bama_jr.007
bama_jr.07 :
Yani sio vichochoro tu mpk sura ❤️😂
2026-11-28 07:27:22
3
To see more videos from user @oyaajamaaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About