😂😂😂😂😂😂Nimecheka jmn man nimetoka kuxoma hyo comment mda ci mrefu na naiyona hapa
2026-11-27 21:06:24
4
pochi na viatu dodoma :
Ila kama kweli vile😂😂
2026-11-28 09:35:39
1
Abdillah⚓✈️ :
Hapana somo hukulielewa kak aliko toka ndio sumu na ndio maana anapew mziwa awe sawa sas atulie na aman... Siku zote mtu hupewa maziwa baada ya kunywa sumu
2026-11-28 05:38:08
1
depolite405🤍💜 :
me nilijuw kunywa maziw ni sunna kumbe ni kipoozeo cha sumu za ndoa 😂😂😂😂😂🙌🏼🙌🏼