@ozdantaraphael89: Tunapomaliza siku hii tukufu ya Ijumaa na kuelekea kulala usiku huu, ombi letu kuu kwako Ee Mwenyezi Mungu ni moja tu: Usitubebeshe mizigo na mitihani ambayo hatuna uwezo wa kuibeba, na utupe subira yenye kheri! Usiku mwema! 🌃🤲🏼✨#1MillionStories #fyp #viral #swahiliquotes #foryoupage