@mwenye.nchi: WanaCCM huu hapa ujumbe wenu

MWENYENCHI 🇹🇿🇹🇿
MWENYENCHI 🇹🇿🇹🇿
Open In TikTok:
Region: MA
Friday 27 November 2026 20:41:25 GMT
198706
10494
421
512

Music

Download

Comments

chugastiancity
Arusha city :
Tunaoamini ikitu ni kweli tujuanee
2026-11-27 21:41:34
460
hassan.mushi2
Hassan Mushi :
upo sahihi,swali polepole YUPO hai?
2026-11-28 00:41:51
47
user238068544294
MTOTO KANYELE% :
Huyu mama xaxa nimeshindwa kumtetea kwanini yeye anagombana na kila mtu jamani daah
2026-11-28 08:24:22
71
07mmg1
G27 :
mwanzo nilikua naku chukia ila cha waziri mkuu at mm kimeni uma sana na ndo kimbilio la watanzania jana nme shuhudia kwa macho yangu afu watanzania tushtuke huyu dada asikilizwe sas sio nifer mara anko t
2026-11-28 00:39:29
96
razaqboko
duge :
dada unaipenda sana nchi ako
2026-11-28 01:07:47
46
mendezjr.1
Mendezjr :
2030. John heche ndo raisi
2026-11-28 00:59:23
81
user4070814620959
Hackers :
huyu dada ukisikiliza vizur kuna kituu
2026-11-27 22:07:59
86
jb.kadege
Jb kadege 🐋 :
kazi unayo kuwaelewesha watz kazi sana🤣💯
2026-11-28 12:32:15
26
dalali_kigamboni_
dalali_kigamboni_bigwa :
japokua mi sjuii kitu ila we ni zaid ya mitume wa bongo 💯💯💯🙏🙏🙏
2026-11-27 20:50:50
69
user95361004075520
Van OG :
waziri mkuu ndio mtendaji mkuu wa wizara zote unamzuia kwa vigezo gani ? hapa mazingua
2026-11-28 16:13:48
31
erick_adam3
ERICK_ADAM :
mangekimambi ni taasisi na nimuunganiko wa watu wengi ndani ya serikali na nje ya serikali.! taarifa zake mara nyingi zinaukweli kwasababu wanao mpa taarifa wapo ndani ya mfumo
2026-11-28 18:24:05
10
user1742013777688
user1742013777688 :
dada.uk.vzr.san
2026-11-29 19:31:04
0
balnelly5
Balnelly@cakes and bites :
Mang anasemaga ukweli
2026-11-28 07:20:08
11
alex.mwakosya
Alex Mwakosya :
we need tangayika
2026-11-28 03:52:17
12
seif.seif8696
Seif Seif :
wewe Hujui kitu hajampiga Pini ameona kuwa wakuu wa wilaya na mikoa Wana Fanya Kazi Gani? ikiwa wazuri mkuu muda wote anasikiliza shida za wananchi wa wilaya na mikoa Wana Fanya nini
2026-11-28 06:38:05
10
bedamchome8
bedamchome8 :
Ila watu wengine sijui wakoje?... kwa hiyo waziri mkuu azunguke Tz nzima kutatua migogoro ya vikoba na aridhi eka 1...wakuu wa mikoa na wilaya wanafanyaje
2026-11-28 03:59:39
9
mogasapius
PIUS MICRO CREDIT :
huyu nae kila siku anabadili yalozungumzwa ili yawe vile alivyowaza yeye. ebu kwa kuwa unayajua haya yote njoo ushiriki uchaguzi uwe raisi wewe ufanye vile unataka
2026-11-27 20:57:29
9
danielchimigulu
Wild Wolf 🐺 :
you're right my sister
2026-11-29 07:36:28
0
shida.ruhembe8
Shida Ruhembe :
watanzania hawashutuki
2026-11-28 06:35:19
8
rejectreligions
someguyy🌪️ :
watanzania wako bize na bifu za wasanii🥲🫠
2026-11-28 10:09:35
12
renatus.nyon
Renatus Nyon :
MUNGU ATUSAIDIE
2026-11-28 01:54:45
14
btchofyet
Sherry :
Wanataka kuifanya Tanganyika iwe monarch country, hatukubali, Watanganyika tunataka raisi wetu
2026-11-27 21:37:21
36
danieljackson478
Denyo wa igovu :
Huyu dada alinichanganya tu alipokuja na hukumu ya lissu.
2026-11-28 06:12:01
12
hansernest5
Hans Ernest :
yaaan mambo wananzisha wenyewe alafu baadae Wana stisha sasa ziara za wazir mkuu Nan alimtuma
2026-11-28 16:16:24
7
nyelushop
anyelwisyelupondo :
hata mm nilimuelew Samia kuwa kazi ya wakuu wa mikoa anaifanya wazili mkuu kivipi wakati wao wapo
2026-11-28 05:07:04
5
To see more videos from user @mwenye.nchi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About