asanteee mungu kwa kuwa kila wakati unaniwazia mema
2026-11-28 00:56:52
6
naurathnazir :
asante mungu kwa kuniamsha salama naomba ukanivushe mwaka 2027
2026-11-28 03:15:43
9
Samira :
Asante Mungu kwa baraka za siku nyingine tena katuongoze katika kila hatua ya mapambano yetu
2026-11-28 05:15:54
2
wambui :
asante
2026-11-28 06:21:58
0
Johnia :
ee Mungu naomba mwezi December ukawe mwezi wa Baraka kwangu na familia yangu๐๐
2026-11-28 03:55:49
2
ms paul :
asantee Mungu kwa kumaliza mwez salama naomba ukasaidie hata mwez mwingine tufike salama Amen
2026-11-28 01:55:19
1
Doric :
Asante mungu kwa kunifikisha salama pamoja na familia yangu
2026-11-28 04:27:56
1
Reborn Smart Accessories :
asante mungu Kwa yote wapo wengi waliotamani kuiona leo ila hawapo mungu Mimi ni nani hata nisiseme Asante
2026-11-28 04:43:54
1
shallyzam :
Asanteee Mwenyezi Mungu kwa kua na Mimi Kila nyakati ndan ya maishaa yangu
2026-11-28 04:14:16
1
P.E.D.E.S.H.E.E@ :
Asante mungu kwa kunilinda mpaka sasa naomba univushe 2027 salama amen.
2026-11-28 03:57:28
1
MR SMILEY :
mungu zid kuni9nekqnia kaka maisha yanguuu
2026-11-28 04:00:56
1
๐น rose :
Asante Mungu kwa uhai, na pia nahitaji uponyaji wako nmechoka na haya maumivu
2026-11-28 03:18:18
1
JOHN JOO :
Asante mungu kwa zawadi ya huai ๐
2026-11-28 04:08:33
2
WABONGO HD๐จ๐จ๐ฆ๐บ :
mungu asant
2026-11-28 06:57:25
0
lewisfrank812 :
Asante Mungu kwa kibali cha kuiona siku ya leo naomba unijalie afya njema ubariki mwezi wa kumi na mbili ukawa mwezi wa baraka na amani kwangu na familia yangu Amen ๐
2026-11-28 06:56:25
0
clever :
asate mungu kwakufikia xik yaleo naomba unifikixhe mwak 2027 salama
2026-11-28 06:55:34
0
Kassim Ali :
Asante mungu kwakunipa pumzi
2026-11-28 06:55:32
0
izackmollel :
Munguu asante
2026-11-28 06:57:47
0
To see more videos from user @mrdrama52, please go to the Tikwm
homepage.