@petermsechu: Mwaka huu Mungu amenibariki na kunipa nafasi kumaliza Mwaka na tukio kubwa sana katika Historia ya Maisha yangu🙏🙏 kupata nafasi ya kusimamia Live Recording ya Moja ya kwaya kubwa sana Nchini Tanzania @AIC CHANG’OMBE CHOIR (CVC) 🙏🙏 kwangu ni historia kubwa lakini yote kwa yote Mungu azidi kuinuliwa na kupewa sifa🙏🙏🙏🙏🙏🙏 TUKUTANE KATIKA VIWANJA VYA POSTA TAREHE 18/12/2026🔥🔥🔥🔥🔥✅✅✅

Peter Msechu
Peter Msechu
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 27 November 2026 22:30:41 GMT
11609
1191
25
21

Music

Download

Comments

living4658
living💦🇹🇿🇧🇫🇺🇸 :
kaka kumbe na huku upo,uko vizuri aseee🔥🔥🔥🔥
2026-11-27 22:50:00
14
missmartha340
Miss Martha :
Msechu the best kwenye haya mambo ya sauti 🥰
2026-11-27 22:57:11
9
exteller1
STORY TELLER :
Mungu akubariki sana kaka
2026-11-28 07:00:37
1
past.joyce
Pst Joyce ⛪ :
wow ananikumbusha kuna mahali nilikua Mwalimu WA Vocal
2026-11-28 05:48:30
1
momy.t40
momy t :
mungu akutunze ila ukate ilo likiduku age go mwee❤️❤️
2026-11-28 12:07:27
0
emmanuelmsenga
Exclusive Msenga :
Kaka Mkubwa, your are blessed to be blessing to Others.🙏🏾
2026-11-27 22:40:56
0
goodluckodede
chief trainer :
Mungu ana watu wake
2026-11-28 11:42:01
0
rkazigudi
rkazigudi :
Barikiwa sana
2026-11-28 07:07:12
0
metusela.kisuda
Metusela Kisuda :
Hongera sana ndugu yangu
2026-11-28 10:03:57
0
bry.chrs
Bry chris :
Amen kaz nzur bro
2026-11-28 05:35:26
0
ruthmagulu2
ruthmagulu387 :
My Team
2026-11-28 12:14:32
0
trizasamuelmpata03
Mc Madam Triza Samuel Mpata :
safi
2026-11-28 08:22:14
0
mnyemawapili12
MNYEMA DC12 :
Goddess
2026-11-28 05:43:21
0
dianabyabato202
Diana Byabato :
amen
2026-11-28 04:32:26
0
vicentokal
vicent :
mwalimu sasa nywele😂😂
2026-11-28 06:50:46
2
user18194724235753
Ta🥀 :
Mbona sisemi kama Baba levo alisema Peter Msechu sio msaniii🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-28 07:08:13
1
saana663
choisan 🥰 🥰 🥰 :
🔥🔥🔥
2026-11-28 10:47:28
0
amosi46
amosi46 :
🙏🙏
2026-11-28 06:27:06
0
heartcorde3
G&0ne9❤ :
🥰🥰🥰🥰🥰
2026-11-28 05:26:45
0
mr.tato59
official t🥰💘💞❤️‍🔥 :
🥰🥰🥰
2026-11-28 05:10:24
0
daniel.seme2
Daniel Seme :
🥰🥰🥰
2026-11-28 01:26:19
0
_mechanics_bmw
Kevin_ :
🔥🔥
2026-11-28 10:10:13
0
To see more videos from user @petermsechu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About