@ali_wisdom: Mtu ambaye hana uaminifu kwa Mwenyezi Mungu aliyemuumba, unategemeaje awe mwaminifu kwako wewe mwanadamu? Kama hakuiogopa adhabu ya Mola wake, unadhani ataogopa vipi machozi yako? Anayevunja mipaka ya Mungu kwa ajili yako, usishangae siku moja akavunja moyo wako kwa ajili ya mwingine. #creatorsearchinsights #viralvideo #foryou