@seiphsedo: 0656791595 KWA HUDUMA YA PICHA NA VIDEO KARIBUNI

sedo studio
sedo studio
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 28 November 2026 02:46:15 GMT
31705
1345
156
410

Music

Download

Comments

chaupole579
Mimi :
huyo dada kaniuzi huo mud wa kuvua pochi nautoa wapi yaan hapo me nisingekumbuka pochi wala simu yaani ukinianza me namalizia
2026-11-28 09:48:46
14
hammymuuh
hammy🌸muuh🧕 :
😂😂😂mji una mambo huu 😂😂😂
2026-11-28 05:09:03
34
queenlinda844
WINGA COSMETIC 💄👄 :
hii shida inakuwaga nn adi watu wanapigana
2026-11-28 12:24:12
3
lisma150
LiSma FoR a ReAsOn🍀 :
AISEE BORA NILIZALIWA ZANGU USWAHILINI LKN NILIAMUA KUISHI TU MAISHA YANGU 😂😂WALLAH MIMI NILIVYO HV NINGEKUWA NADUNDWA KILA SIKU NA NGUVU ZA KUPIGANA SINA 😂😂😂😂
2026-11-28 08:55:32
18
cecy_p25
Cecy Vibes🏝🍗🍸💞💕 :
😂😂😂😂 kiyamungu kunamtu amechek kama mm uwii
2026-11-28 13:49:15
5
user4788747340997
anto2004 :
episode 2 please 😁😁😁
2026-11-28 14:28:49
0
user561357531
yusra muhammad🥰🥰 :
kumekucha washaanza kumgombea juma😳
2026-11-28 05:50:49
9
nattygdax
Natty❤🦅 :
🤣🤣ila wadada
2026-11-28 09:00:39
1
fahymajumaa0
fahymajumaa :
nashkuru skuvaa wigi ningeacha story ukumbini
2026-11-28 12:15:39
1
iptyfaa1
Iptyfaa🥰😘 :
Tutaogopa kwenda kwenye mashuhuli mana ukikutana na hasimu basi kazi ndo iyo
2026-11-28 11:11:31
1
fay.nandy
Fay Nandy :
😁😁😁jama jamn nimezaliwa uswlin.lkn mbona izi shengesha sina na nguvu zenyewe sina 😁😁😁😁mie nawazaga shereeeh tucheze tufulah kumbe tuvae pensi sikuiz....haya mambo yamenishinda jmn kaaah😁mjin laaah
2026-11-28 10:26:34
2
samilah9172
samilah :
jamn mi napenda watu kama hwa hakuna kuogopana
2026-11-28 06:31:42
3
saumu.mvungi15
Rais wa tanga OG :
me ni huyo niliyopigwa😂😂😂
2026-11-28 10:39:55
0
princess_beyonce3
Zenah :
Kakoseeeea alipooovuuuua pochiiii meenapigaaaan n simuu yang taraa 😂
2026-11-28 09:12:33
4
empirealjabry_
Empirealjabry🦋 :
napendaaa veeeep😂😂😂
2026-11-28 08:20:58
0
carvin_255
KG-G1gha-0G :
mbele ya muda
2026-11-28 08:13:37
1
rose.mlwilo8
Rose Mlwilo :
2026-11-28 08:20:25
1
janeth.azori
janeth azori :
2026-11-28 10:09:19
1
mauwezodrummer
Mauwezo drummer🥁official :
2026-11-28 08:15:33
1
chimomo26
CHIMOMO♍ :
mm ndo huy mdada mwembamba😂😂
2026-11-28 06:59:30
2
user8242683305621
user8242683305621 :
uswahili
2026-11-28 04:16:36
1
tumaally105
💖Tumacute💖 :
nacho na mm 😄😄
2026-11-28 05:30:01
1
hawasaidserikali
naifat Abdullah :
amekuvizia
2026-11-28 09:14:37
0
pilipascal6
PiliPascal :
kanikumbusha mbali sana 😂😂😂asaivi nishakua jamani🤣🤣🤣🙌
2026-11-28 13:54:13
0
junaynah39
junaynah :
sa nimekuja sangapi japo si nikienda kuvaa kijora mara nasikia heka heka 😅😅
2026-11-28 11:31:34
0
To see more videos from user @seiphsedo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About