@o.honey_quotes: nimeelewa kwa nini baba yangu alinyamaza. Hakuwa na maneno ya kutosha, lakini kila asubuhi alikua anaamka mapema kwa ajili yetu.#tanzaniantiktok🇹🇿fyphair #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿fyphair #tanzaniantiktok🇹🇿