@talkboutitwithconradley: Baada ya mwanamke kupata mafanikio ni nini hubadilisha mtazamo na malengo yake juu ya mwanaume? Tusaidiane mawazo kwenye comment. #tiktoktanzania🇹🇿 #women #men #respect #marriage
Mimi nilipofika jamani wanaume si watu wakupewa chochote kizuri binafsi nimefanya kila kitu ila njia anazo nipitisha 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
2026-11-28 04:28:00
5
May$ :
Na mwanaume akifanikiwa akabaki na mke wake wa mwanzo na hazai nje n wachache jamn
2026-11-28 05:40:23
9
mimah nails 💅 :
utanyenyekea mtu asiotaka unyenyekevu?? utaheshimu mtu asio taka heshima?? tutapokea na kupeana pale tutakapoekana, hata jiwe likipigwa sana na jua na mvua mwishowe hupasuka, unanyenyekea unaheshimu, respond inayotoka hapo ni dharau, ifikie hatua elimu kwa wanaume juu ya ndoa yake na familia iwe juu kuliko ya mwanamke🙏
2026-11-28 08:54:13
1
geecollection06 :
Apo kuna mtu anamsema kabisaa🤣🤣🤣😂
2026-11-28 05:37:46
4
오케이 우엘 타엘🔞 :
bro nakubal tips zak kuna kit huw najifunza san nikisikiliz tips zak mung akuwek
2026-11-28 06:02:09
2
maimuna Chitale :
Nalo neno
2026-11-28 05:29:36
3
Mayeye.S.E :
Tutawaheshimu tuu kwakweli
2026-11-28 06:12:37
4
Esperance Nshimirimana :
kweli kabisa
2026-11-28 04:36:28
3
Rahma Hassan668 :
Amina
2026-11-28 05:27:47
4
SHINE ROSE DESIGNER :
exactly 💯
2026-11-28 04:36:56
4
Maida Adinani :
napenda mafunzo yako💗
2026-11-28 09:08:59
1
Annie chriscent01 :
wanaume ndio wa kwanza kubadilika mtu umetoka Nae chini leo mmejipata akujui anakula na kulala na wengine kwenye mafanikio mliopambn zaidi ya miaka 10 hapo nani ndio mwl kwa mwenza wake
2026-11-28 06:51:06
3
Jamila Basty :
Kosa la Mwanaume ni kuchepuka
2026-11-28 05:31:44
3
Aries ♈️ queen :
Yaani kuna Mtu anapigia magoti mchungaji Ila Mumewe anamjibu utumbo, aisee nilimchana tulikokutana mtaani 🤣
2026-11-28 04:43:37
2
Gracious Graca :
😆😆😆😆😆😆😆🙌
2026-11-28 05:08:11
2
lovenessjonas❤️❤️❤️ :
🥰❤️
2026-11-28 05:47:34
3
Linah :
😂😂😂😂😂😂
2026-11-28 10:53:17
1
jacklin m :
😂😂😂😂☺️☺️☺️
2026-11-28 05:09:09
2
JJ :
😂🤣
2026-11-28 10:37:40
1
Bachaa 🙃🙃 :
🔥🔥🔥
2026-11-28 11:48:13
1
armalinprecious :
🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-28 19:32:33
0
To see more videos from user @talkboutitwithconradley, please go to the Tikwm
homepage.