tulioona hii ngoma pindi inatoka na bado tupo nyumban umri umeenda nimuda wa kutoka na kwenda kwa ndugu dasilamu😎
2026-11-28 07:31:42
78
Gladness Michael :
sijui kwanin nimefrah ivy jmn🥰🥰
2026-11-28 07:17:00
52
shazila :
anti dada 💪💪💪 axant kwa kumxapot bext nazo mungu akulnde na akupe moyo huo huo
2026-11-28 07:31:54
49
user4232946810412 :
anti jitahidi urudi kwa best naso na wimbo wa msamaha
2026-11-28 13:28:31
16
cute prihya :
basi leo nimefurah hatar nampenda best naso
2026-11-28 04:51:58
17
Voyager avec ally. :
nimewapenda sana mmenikumbusha 2011 nikiwa darasa la 4😅😅😅😅
2026-11-28 07:46:57
5
marthasangu :
Jana imeinyeshwa tv steshen ipi
2026-11-28 14:12:00
3
michy :
Best nasso msanii wang pendwa wa muda wote
2026-11-28 06:59:34
31
R K K :
Nimefurai mpaka machozi yamenitoka,nampenda na ninapenda nyimbo zake nyingi zinafunza,asantee Anti kipenzi changu
2026-11-28 20:46:33
2
Joyce John :
Ndo huyu aliimba nae
2026-11-28 07:50:35
2
True boy 🍏 :
mwanetu anaimbaga sana
2026-11-28 06:30:55
5
RAFIKI WA NDOTO 👪 :
wasanii wetu apo ndio mnapo fell mnapewa pesa mnatupa chin pesa Ina eshima yake km angejua ivyo angekuwekea chini umekosea
ila ww ni msani pendwa w watanzania tunakupend
2026-11-28 06:27:52
12
Miss🎀~Beatrice🦋🦋 :
Mbona aunt anamkimbiaaa😂
2026-11-28 13:15:03
0
nadimu :
daa! jamani nimekumbuka mbali san
2026-11-28 17:44:32
1
Twin mom's life🍀 :
kihindi chauhaiwangu hii nyimbo mama weeee pali kontwa
2026-11-28 09:04:13
4
Joyce Mikono :
kitambo San maisha yanabadilik miaka usogea
2026-11-28 17:38:10
1
𝐌𝐨𝐫𝐢𝐧𝐞𝐲 𝐪𝐭𝐲 ❤️ :
adi nimefulaiii
2026-11-28 13:12:02
0
user5536634806188 :
mbona best husikiki tena jamn
2026-11-28 20:13:26
0
InshaAllah :
ni raha sana
2026-11-28 15:34:54
1
moseskahimbi :
daa jamaa alichok sna yn kunasiku nimemkuta kijiji kinaitwa mwamagembe yan mhh
2026-11-28 12:14:43
2
Frida Mbembela :
jaman huuwimbo nakupenda 🥰🥰🥰
2026-11-28 13:51:53
1
Alhajjabunayaht62 :
sialikuwa Vixen kwenye hii ngoma
2026-11-28 07:48:44
1
tina :
wimbo wangu pedwaa
2026-11-28 05:46:25
3
KERIS :
adi raha jomon
2026-11-28 08:32:19
1
Masenye wangi :
Sana wa kwetu umenigusa sana🙏
2026-11-28 08:37:42
1
To see more videos from user @binaupdates, please go to the Tikwm
homepage.