hakuna mtu anaweza kupenda wawili kwa wakati mmoja lazima Kuna mmoja ataumizwa tuu
2026-11-28 14:09:52
61
Dee chioma🍓🇹🇿 :
Hiv ushawah ishi na mtu ushamtoa kweny akili yko that’s me toka nimekuwa wa kujal maisha yng sijawah lia tena nmewaacha na maisha yao niko na dunia yng na alhamdullilah allah ananinyooshea
2026-11-28 10:04:06
84
🌸Maryam🎀🌸 :
nimeshalia na naendelea kulia lakn IPO siku Allah atasikia kilio changu inshallah 🙏🥹
2026-11-28 08:29:25
28
Aaliyahshahnaz :
ukiingia kwenye Ndoa na mtazamo kwamba ety ninaolewa ili nipendwee, my dear you will suffer.. jipende mwenyew., usiishi maisha yako kwaajili ya mtu mwingine mwanaume hapendwi anaheshimiwa tu bac... hakikisha anatimiza majukumu yake ya kukuhudumia that's it..the moment ataacha kukuhudumia kifedha na kihisia my dear Potea na urudi kuishi maisha yako ndoa ni pepo sio jahannam.
2026-11-28 11:58:13
19
Rellah🎀 :
mm hata awe muadilifu uke wenza sitaki
2026-11-28 15:01:50
9
Aisha an💙🦋🦋🦋 :
Umeona uyo dada anavyolia ndo yatakuwa maisha yako kila siku 😭😭😭🙌🏻 mm Toka mwaka jana mwez wa 5 mpk leo ayo ndo maisha yangu🙌🏻
2026-11-28 15:50:47
8
Shadya Abdul :
Kusema ukweli sitaweza uke wenza najijua
2026-11-28 11:24:26
11
sanoor 💜💜 :
Kuna mda natamani kukata tamaa unabaguliwa adharani n kudhulumiwa mwingine akifurahiswq mm nimechoka😳😳
2026-11-28 11:26:01
9
MAMUU❤️🥰 :
huwa wanasema we got drama n jealousy na sisi wabaya mzuri ni yule wa kwanza nlichoka mm
2026-11-28 07:30:36
10
🎀🎀MAMAA SMILE🥰❤️ :
Allah nijaalie mja wako nipat mume muadilifu
2026-11-28 05:57:26
16
Ms Llyhan 🦋💎 :
ya allah nijaalie mume mweny upendo na huruma🤲🙏😔
2026-11-28 14:58:03
4
Nirva :
mm wa kwangu nitafunga siku 7 nimuombe mungu asiowe mwengine, awe ni wng t mpaka kifo
2026-11-28 07:58:19
6
lulu🦋🦋🦋 :
nimeshalia na naendelea kulia lakn IPO siku Allah atasikia kilio changu inshallah 🤲😭🥹
2026-11-28 17:46:42
2
mwajei kassim☘️🇴🇲 :
inauma san
2026-11-28 05:07:10
7
mo Salah 28 :
inaumiza
2026-11-28 12:57:56
1
Abuu jalaly Ramadhani :
Allahu aninusuru na anijaalie kuwa muadilifu kwa uwezo wake
2026-11-28 05:33:40
6
ℝ𝕖𝕜𝕙𝕒🩷 :
NI BORA NIJIENGUE NIKIJUA MUME ANA TAKA KUOA MKE MWENGINE MAANA NAJUA RIZKI YNG ISHA ISHA NA MAPENZ YASHA KUFA NDIO MANA KASAKA MKE MWENGINE HIVYO CTAWEZA KUNG'ANG'ANIA NDOA NITAJIVUA TU NIWE NA AMANI.
2026-11-28 14:13:05
4
mina natur pretty :
umeona
2026-11-28 11:45:31
1
Akhy-IBRAHIM :
Mimi ni muadilifu InshaAllah nitaoa wawili au watatu ikiwezekana hata wa nne...
2026-11-28 15:16:42
0
Madam Me🌸❤️ :
Hii ni move..? Kama ni move Naomben jina
2026-11-28 16:14:49
3
goldyfifi :
Sister km waona ndoa ya uke wenza inakuumiza moyo na saikolojia bora uondoke.maana hapo utakua unajidhulumu nafsi yako.