@brainmbuzi132: TAFSILI YA NDOTO SEHEMU YA 8 #alulamah#tanzaniantiktok🇹🇿#islamic_video_الله_حسبنا😢☝️🤲❤️💕🕋

🕌 AL ULAMAH 🕋
🕌 AL ULAMAH 🕋
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 28 November 2026 05:20:05 GMT
21630
1405
19
45

Music

Download

Comments

imakhamis36
Imma khamis :
kuota unasafiri
2026-11-29 00:16:39
0
mwajumaabduli339
First born 🥀🌺 :
me nimeota natafutwa na nyoka
2026-11-29 01:59:34
0
rayah80
Rey cute❤️🧸 :
Kuota wanajeshi or Askari km wanataka kunikamata 😌
2026-11-28 18:27:32
0
chununa2
chununa2 :
naomba unitafsiriyeee hii ndoto.kila siku lazima nimuote au niote.hii ndoto yanisumbuwa..kila siku au kw mda sasa namuota msanii mkubwa sna sana ati amenioa.hhasa nikaha yafungwa na mashekhe. its feels so reel.kwenye hio ndoto hio nikaha itso real hadi naulizwa maswali kama nimekubali kuolea
2026-11-28 22:43:21
0
emcollection845
EM Collection :
kuota mtu anazama kisimani
2026-11-28 18:38:35
0
aggyjosephshilili
happiness Hendrix 😘 :
mie nmeota mtot wangu anampiga nyokaa alfu pemben kuna nyoka wa silver mdog
2026-11-28 07:43:39
0
user3013227514266
21scol_is :
bora hat wew unajibu kuota unapew juic na maji ila ukitak kunywa juic unashangaa unakunywa maji inamaan gan
2026-11-29 05:15:48
0
y22mylove
zai :
Ameen
2026-11-28 06:17:55
0
user254724813691
latifah :
amiin
2026-11-28 08:12:33
0
ibrahimkiri340
Ibrahim Guyo :
Ameen
2026-11-28 14:49:38
0
user2561294755135
user2561294755135 :
😁😁😁
2026-11-28 07:58:50
0
anta.ashrafu
Anta Ashrafu :
🥰🥰🥰
2026-11-28 21:08:34
0
To see more videos from user @brainmbuzi132, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About