@luludivatz: Alhamdulillah for this beautiful blessing❤️💍 Mume wangu, Abdul, @Itsdvoice kuwa mke wako ni heshima na zawadi ambayo siichukulii kama jambo la kawaida. Kati ya watu wengi duniani, Allah ameniandika kuwa wako, na kwa hilo nitabaki kuwa mwenye shukrani. Naomba Allah azidi kuibariki ndoa yetu, atupe upendo usioisha, heshima, subira na amani. Awe ngao yetu katika kila hatua ya maisha yetu na atujalie tuzeeke pamoja katika kheri🙏🏾💕 Nakupenda, Mume wangu, Halal yangu. Leo, kesho na siku zote❤️ My forever answered prayer🥹💍

Lulu Diva
Lulu Diva
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 28 November 2026 05:58:28 GMT
167230
34174
477
347

Music

Download

Comments

itsdvoice
Itsdvoice :
Wifeee ❤️
2026-11-28 06:36:50
1196
godslastborn546
Gods last born :
Acha nivumilie nitakuja kuolewa na Ollie wa wema
2026-11-28 06:56:59
293
zahra26..1
ZAHRA ❤ :
Napenda ninapopendwa sipendi kuumizwa 🥰❤️
2026-11-28 07:18:19
35
missboss134
missboss🌹 :
finally babe unaenda kuzaa ndani ya ndoa mashaallah🥰🥰🥰🥰
2026-11-28 06:28:08
129
eufrasia652
EUFRASIA 🦋🌹 :
Ndoto ya Kila mwanamke 🥰🥺
2026-11-28 07:22:13
32
lulu_muh8
lulu8 :
tunaoangalia jumamosi saa 5 asubuhi
2026-11-28 08:02:02
80
gladdybear1735
Gladly731 :
Mom may not be here, 😣😔but I hope she is smiling down on you and is happy for you 🩵🤍,,, May GOD grant more favor to you Mamaah 🤎🩶🩷
2026-11-28 07:37:24
11
softbaby2004
maah mkaliiii ❣️ :
hatimae umetimiza lengo lako mashallah🥰🥰🥰
2026-11-28 06:07:38
20
shunumammy3
shunumammy :
Mashallah my favorite frm 254 may Allah bless your UNION Allahumma Ameen yaaraby 🤲much love 🌹😍🌹😍🌹😍🌹
2026-11-28 10:57:49
0
rachel.chriss7
chmamy :
😂😂😂 ila wanaume wanahuruma sn nmeamin uwiii
2026-11-28 07:47:27
7
pretty.mirah42
pretty mirah🤎 :
mashallah dad lulu Allah awajaalie neema katik maisha yen mapya
2026-11-28 06:01:22
43
dre8555
Dre :
living this for u gal
2026-11-28 11:02:27
0
irenejohn795
🦚Dee🌸😂 :
siku moj na mimi ntaolewa ila kwasaiv ngoj niendelee kutafuta ela kwa bidii
2026-11-28 06:26:53
62
user2034306394392
B_Alley designs :
congratulations 🎉👏🏾
2026-11-28 07:46:15
0
mariamhussein50
❤🥰Lady M❤🥰 :
Mashaallah.I am happy for u guys. 🥰🥰🥰 🇰🇪
2026-11-28 10:15:11
0
hamisa.ramadhan5
Hamisa R Msabila85 :
alfi mabrouk
2026-11-28 11:49:55
0
maggiestoreonline
Mrs J♥️ :
hongera ❤️
2026-11-28 06:32:24
1
29121978myself
Lastborn🤔😘🦁⚽ :
luludiva Nakupenda da mzure [Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-11-28 06:08:27
0
celeen163
celeen :
Tunao angalia jumamoc sa nne asubuh tujuane apa 😂😂
2026-11-28 07:12:52
431
mamanilham569
m,Nilham :
Uzuri kaka ang kesho anaoa piah☺️
2026-11-28 06:29:43
8
minah.315
Amina Hamid :
MashaAllah🥰 Allah Awape kila lenye kher Awaepushe na Hasadi Ameen 🤲
2026-11-28 06:02:39
9
merryd13
prinsesymerry D K Supa❤️❤️❤️❤️ :
hongea dadaangu mungu awajaalie ndoa njema mdumu daimaa ila me nataka umzaile tu shemwangu si unajua kwetu tumezaliwawa wachache nakupenda dada luludiva🥺
2026-11-28 06:43:08
7
jeniphermwangomol
ORG jenipher❤️ :
mungu nipe couple kam hii😍😍😍😍
2026-11-28 06:09:02
5
user8478632906051
user8478632906051 :
2026-11-28 07:38:33
1
yasmini593
♡♡ŸÃ§ÏMN̈Î☆☆ :
❤️❤️❤️💋💋 mungu awalinde🥰
2026-11-28 07:19:31
4
To see more videos from user @luludivatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About