mbona mnatudanganya nyie kwan kufanikiwa ni kuwa na pesa au ni kitu chochote ulichopanga na ukatekeleza alafu leo nimefanikiwa kumuona fall ipupa 🤣🤣 ata hayo mafanikio nyie wajuaji bhn mafanikio sio kuwa pesa wala mali kuwa na pesa ni mipango ya mungu hv nyie mnaona sisi hatupambambani ila tunafanikiwa kuoa tunafanikiwa kuwajari wagonjwa tunafanikiwa kuwa bloku
2026-11-28 17:31:03
1
john mwenzio :
courage yaya
2026-11-28 18:50:56
0
𝐁𝐄𝐀𝐒𝐓𝐌𝐀𝐒𝐓𝐄𝐑 𝐓𝐳 :
Wewe umefanikiwa?
2026-11-28 10:25:16
0
salumumachamba :
Ahsante teacher
2026-11-28 11:19:07
1
Mr. Pizo🇱🇷 :
Hawa motivation speakers nshawachoka mimi kama hujanipa hela a.k.a mtaji kamwe hurusiwi kunishauri lolote coz akili ninazo tena zko timamu.
2026-11-28 18:29:44
0
hajis a :
ok poa wao
2026-11-28 19:18:36
0
Joseph Mwasikwila :
kwl kaka ww upo wap maana mm natamani kuwa juu kama watu wengine
2026-11-28 15:06:14
0
Ally Urembo :
umeongea kitu kikubwa sana
2026-11-28 11:20:26
0
Davis :
barikiwa sana
2026-11-28 09:57:22
0
RAYMOND ALEXIS commercial :
bonjour
2026-11-28 17:36:32
0
Dr Jacques :
Nakuelewa mwalim
2026-11-28 10:31:45
0
SalyR7 :
mi nadhani maisha yanatokana na mfumo kama mtu umezaliwa uko tanga porini porini unatoboaje
2026-11-28 13:21:09
0
kidera32 :
Tuanze na Namba 1, je kama mimi sina Cycle kabisa inakuaje?
2026-11-28 14:34:38
1
user110639258708 :
Uhakik
2026-11-28 11:08:38
0
user98629268234 :
Madini Ya Maana Kabisa
2026-11-28 12:16:09
0
Gims kamala :
good
2026-11-28 13:52:41
0
Bakari :
True bro
2026-11-28 10:40:09
0
Yusuf OG :
nyie mnao toa mahudhui ya mafanikio mnakua mmesha fanikiwa sieti
2026-11-28 10:12:31
0
NOVIO KNOWLESS 🇹🇿 :
🙏
2026-11-28 06:52:45
1
petrophilipo513 :
🥰
2026-11-28 10:37:52
0
felsiani Egidiusi :
😂😂😂
2026-11-28 15:24:30
0
kime b2 :
🥰🥰🥰
2026-11-28 17:22:34
0
Erick Wilson :
🥰🥰🥰
2026-11-28 19:32:53
0
African hestler 🤜🤛 :
🫡
2026-11-28 19:40:18
0
To see more videos from user @mwl_wa_wataalam, please go to the Tikwm
homepage.