Mimi mada ambayo uliniuzi ni kusema eti sisi waislam ijumaa ndara na viatu ndo vingi halaf jpili ni magari yamepak njee, Ndugu sisi magari hatuna mpango nayo tuna subla kwa Allah.
2026-11-28 08:31:01
77
Katoto ka Yesu :
hee Makubwaaa
2026-11-28 09:17:47
10
sele ame :
Nashkur kwa kujuw njia sahihi leo
2026-11-28 07:16:39
5
hustle ya vijana :
kiukweli mimi bado sijalidhika naomba ukanushe kuhusu swala la kuchinja na swala la issa kufa msalabani apo mmi talidhika ila mpaka sasa bado nakumaindi sana
2026-11-28 11:40:10
11
shaweji mchonjo :
shee mm nataka kufahamu dini ya kweli ni ipo
2026-11-28 15:36:27
2
pascalbenard04 :
mimi sioni kama kuna haja ya kuomba msamaha maana sioni ulichokosea
2026-11-28 16:21:09
2
SALIM RASHIDI🎧🎙 :
Shekh waislam tuna penda haki ukweli hapa sasa tuko pamoja na tutakusapoti inshaallha like tuta like sana
hiyo imeenda wakikutenga njoo huku kwa YESU kRISTO wetu mzuri sana
2026-11-28 12:05:05
2
kassimkikwetekassim :
uo ndio uwanadamu ukiona umekosea bc ni wajibu wetu kuomba msamaa kwa yule uliyemkosea Allah atakufanyia wepesi inshallah kwenye mambo yako
2026-11-28 08:44:29
8
malow :
kwahiyo dini ya kwel ni ipi
2026-11-28 11:58:52
0
M0lly. 026 :
Tatizo tulikosana kwenye malipo🤐
2026-11-28 21:56:40
1
othmani :
Zaydu allahu akulipe kila lakheri mashallah huo ndo uislamu na huo ndo ucha mungu mashallah kuna kitu nakiona kwako zaydu unadalili za uchamungu allaha akuongoze 🙏🙏🙏🙏
2026-11-28 07:22:00
2
asadabdul39 :
Ww pastor
2026-11-28 12:10:09
0
Zaituni Jongo :
tumekusamehe kalibu kwenye njia yahaki
2026-11-28 19:18:30
3
mussa :
kama ume kubali kama ume kosea ata Mimi nime kusamehe mungu akuogoze
2026-11-28 16:39:37
2
Ally Mkemwa :
sisi tuchoamini ujumbe ulishafika,na maneno yakishatamkwa hayarudi tena mdomoni, hii imeenda, na ule ndio ukweli,
2026-11-28 16:50:44
0
Wahda Adinan :
kikweli nilikua nakuchukia ila nine kusamehe kwa ajili ya Allah ila hiyo haikupi kibali cha kukejeli Dini zaidi zingatia mafundisho ya mtume wa Allah
2026-11-28 18:22:38
1
@solver :
Allah akupe kheri
2026-11-28 13:58:32
1
luis :
Yoote umeyazungumza na mm ni mkiristo, so hamna waislam wanachukia wakristo? maana umelenga tu bahadhi wakristo wanachukia waislam? Bac kaa ukijua,ukisoma Quran 43:61 je, unaikubali hili andiko???🙏🙏 Biblia inasema,na Yesu akasema mpendeni adui yako vile unavyojipemda ww mwenyewe.
2026-11-28 12:54:08
0
rahel :
mungu msaidia uyu kijana mpe kuijua ilio kweli anahangaika sana
2026-11-28 16:45:52
3
Ummy ❤️ :
Kawaida hakki na baatil havikai pamoja kama vile maji na mafuta
2026-11-28 12:26:41
3
othu :
au ni ai
2026-11-28 15:38:04
2
الفردوس🇸🇦 :
Masha Allah Allah akuongoze kweny njia ya haki inshaallah
2026-11-28 12:33:23
1
To see more videos from user @ustadhzaydibrahim, please go to the Tikwm
homepage.