Hilo gari ni muhimu sana kwenye msafara wa viongozi, sio gari la kawaida.
Kazi yake kubwa ni *kulinda msafara kwa kutumia teknolojia:*
- *Kuzuia mabomu ya rimoti / IED:* Lina kifaa cha _signal jammer_ kinachozima mawimbi ya simu, radio na bluetooth karibu na msafara. Hivyo adui hawezi kulipua bomu kwa simu au rimoti.
- *Kuzuia drone na mashambulizi:* Lina rada na antena zinazoweza kugundua na kuzima drone zinazokaribia msafara.
- *Mawasiliano salama:* Lina vifaa vya mawasiliano ya siri kati ya walinzi, madereva na makao makuu, hata kama mtandao wa kawaida umekatika.
Kwa kifupi, hilo gari ni kama *ngao ya elektroniki* - linalinda Rais / kiongozi kabla hatari haijatokea, tofauti na magari mengine ambayo ni ya walinzi
2026-11-28 10:15:32
58
Brizzy Roman :
nizime simu yangu kisa hiyo feni
2026-11-28 11:21:45
47
Freddy dad :
Mm nasoma cyber security mwaka wakwanza hawaniambii kitu
2026-11-28 09:53:39
11
king kikya :
2026-11-28 10:13:57
14
Johnson :
kisa nini sasa ni zime mm na wazima kwanza wao
2026-11-28 08:29:22
10
🌸Minaa🌸🥀 :
nisipozima kinatokea nini
2026-11-28 08:06:35
21
yusuph :
Au nili elnino lenyewe🤣😂😅
2026-11-28 11:34:58
5
merry :
kwani hiyo nn
2026-11-28 12:58:02
2
Geo-jeffrey :
wkt WiFi iyo na iko fasta balaa hata muwe Mia inaconnect