@kiswahilitvonline: Ni rahisi sana kumsikia mtu aliyefanikiwa akizungumza maneno kama haya, lakini ukweli ni kwamba matajiri wakubwa wakishapata pesa ndio wanasema pesa sio kila kitu. Je, kwa wewe ambaye unapambana sasa hivi ukisikia habari za pesa unawaza nini kichwani?