@taimediatz: #HABARI Jibu la Mtumishi wa Mungu Nabii GeorDavie, alipoulizwa swali kuhusu ujio wa Yesu Kristo akirudi sasa hivi. ✍🏿 @lifelinesofficialtz #taimediatz #taimediatv

taimediatz
taimediatz
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 28 November 2026 09:31:43 GMT
44175
1349
184
329

Music

Download

Comments

king.william35
king William :
na Bado wamama wanajaa kanisani kwake 🙌
2026-11-28 13:57:16
11
ney.salim0
Ney Salim :
daaaaaar mim mkrist siendag kanisan lakin sijawahi kufany utani kwenye mamb ya mungu
2026-11-28 11:11:49
23
sb_motors7
SB_MOTORS :
🤣🤣🤣🤣 tusamehe sana nabiii hatutaludia tena
2026-11-28 12:18:35
10
hellenkifaru
Hellen Kifaru :
Acha utani na Yesu sio mwanadamu. Yesu ni bwana wa mabwana na mfalme wa wafalme, hakuna wa kufanana na yeye.
2026-11-28 12:53:14
7
mkadobe_seleman
Mkadobe_seleman :
UKRISTO NI ________
2026-11-28 12:49:45
4
ahsanteedmund
Minister of God Ev.Ahsa :
YESU ATAKAPO KUJA HATA GUSA ARDHI YA ULIMWENGU HUU ATABAKI MAWINGUNI ATATUMA MALAIKA KUJA KUWACHUKUA WATEULE. soma hii👉👉 Mathayo 24:23 - Wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule msisadiki. Mathayo 24:30 - ndipo itakapoonekana ishara yake Mwana wa Adamu mbinguni; ndipo mataifa yote ya ulimwengu watakapoomboleza, nao watamwona Mwana wa Adamu akija juu ya mawingu ya mbinguni pamoja na nguvu na utukufu mwingi. Mathayo 24:31 - Naye atawatuma malaika zake pamoja na sauti kuu ya parapanda, nao watawakusanya wateule wake toka pepo nne, toka mwisho huu wa mbingu mpaka mwisho huu.
2026-11-28 14:23:55
3
athumani.chamuung
ATHUMANI Chamuungwana :
anashuka eapot anatokea nchi gani
2026-11-28 13:47:17
3
deusaugustino8
deusaugustino :
huu ni wendawazim nawapinga sana waisramu sana nakuwatukana lakin Kwa kauli hz nawaunga mkono
2026-11-28 12:02:01
3
mg8412_jox
jox :
iv uyu jamaa anajickia kwer anacho kiongea duh 🙌🙌🙌🙌
2026-11-28 14:43:15
1
jai.ho23
Jai Hō :
mke wangu hataki kushika mimba
2026-11-28 12:35:17
1
violetlyapa
Choosen one :
God have mercy on him
2026-11-28 14:16:55
0
mushauri.wa.rais
mushauri wa rais :
which country is this?
2026-11-28 14:22:00
0
eleonora.steven
Eleonora Steven :
Jamani ACHENI kucheza na huyu Mungu wetu🙏
2026-11-28 14:00:49
0
dangte.mkunde
Dangte Mkunde :
Aaaaagh wp
2026-11-28 13:43:19
0
salhamlela1
ummy samira🥰🥰❣️🥰🥰 :
wagalatia haaaaaai
2026-11-28 15:01:33
0
plove841
PRAISE NASHON✝️❤️🥰 :
kama Kuna sehemu tulikukosea nabiii basi tusamehe haturudii tena😂😂😂😂😂😂😂
2026-11-28 14:47:55
1
malu.bg3
Malu Bg :
mmh ana leseni
2026-11-28 14:23:02
0
blaqpanda_
Andry Mwachiko :
Kwa mfano hapo msimuelewe vbaya🔥
2026-11-28 14:08:50
0
hemedi.shabani4
Hemedi Shabani :
mimi nitakuwa dereva wake🤣🤣🤣🤣
2026-11-28 12:19:27
2
jackline.manyoni2
Honey 🥰💞 :
Tunapenda kujiamulia mambo wakuu🤣🤣
2026-11-28 11:29:26
4
user5418514859712
zinchenko@23 :
mim nitakuwa konda wake😂😂
2026-11-28 12:58:59
2
ministertiktok5
Minister tiktok 🇺🇸🇺🇸🇺🇸 :
proud to be muslim
2026-11-28 14:42:40
1
leewkhan
Leewkhan :
Jinsi yesu atakavyo panda
2026-11-28 13:35:33
2
user57173293713748
TRHII TRHAA :
Dunia Ina Mambo uyo mtu kwel ana Mambo yake
2026-11-28 12:34:12
1
chamack.chamunda
chamack chamunda :
kwan yesu atakuja akitokea wap
2026-11-28 10:07:57
1
To see more videos from user @taimediatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About