mimi nilimuomba kitu hata mwezi.haujaisha nikakipata
2026-11-28 13:29:18
2
princess 👸 tiffah :
mim sitaki kuwa muongo mimi ninaamini mungu yupo kwasababu kila ninachoomba mungu huwa ananijibu haraka sana
2026-11-28 13:56:45
3
D Seur :
The pastor is awaken
2026-11-28 14:40:48
0
Lulu Juma :
yaani kwakweli mm ninamatendo mengi sana ya mungu ila kujieleza eleza pia sio vizuri
2026-11-28 13:43:07
1
hotp :
I pm huwa anawatowa kwenye mfumo alafu ana warudisha
2026-11-28 11:26:47
2
Minister Dorcas :
Bwana Yesu asifiwe watu wa Mungu 🥰
2026-11-28 13:59:49
1
Fathia Saed :
heeeee
2026-11-28 14:57:19
0
kizoto :
Mungu atawatowa ije iyi mwaka 2026
2026-11-28 14:55:37
0
desertfairy :
Uko na macho evidence uko na migu evidence uko na mdomo evidence uko na sauti evidence 😳🙏
2026-11-28 14:28:39
0
Sylvia Jackson :
Ebu nikae kimya wewe Baba unayeongea BWANA YESU ASIFIWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.
2026-11-28 13:37:22
0
ANGEL CRIS :
pumzi ni mungu tosha
2026-11-28 14:51:35
0
NICLAS ANELCA KABARULE :
tu saidiya sana oooh yesu kristo wa Nazareth ,
2026-11-28 13:47:54
0
abeli jacobo :
mtawatambua kwa matendo yao
2026-11-28 13:23:47
0
yesu anaponya :
mimi nili umwa gafla nikasema minapenda ule Mungu wa Daniel aniokowe nikafa make hayupo akaruhusu niingiye aisiyu MDA wasikumbili aka nitowa ndanika amini ninaushu huda mrefi mimi
2026-11-28 14:08:32
0
BEST LEON :
ww unaelewa aje hapo
2026-11-28 13:23:34
0
CHAKULA CHA UFALME :
ndiooo maombi yangu
2026-11-28 09:59:04
0
mansoor masolwa :
pameanza kuchangamka
2026-11-28 13:40:06
0
Emmanuelle 💎 business :
kweli kabisa
2026-11-28 13:24:09
0
phayner61 :
eeeh atasema kila kitu kidog kidog
2026-11-28 12:44:31
0
king zu swim pro :
mm ushahidi nnao mungu yupo
2026-11-28 12:30:59
0
Bryine Ckid99 :
SANA SAAAAANA MZEE WANG 🌍 UPO SAWA KABSA 🔥🔥🔥
2026-11-28 13:00:05
0
I'm Innocents official. :
hata halutendei Mungu yupo.kuishi kwako tu ni nineema ya Mungu,ila ipo siku utaona nautajuwa kama Mungu yupo.kwamambo Mungu amekutendea sr yopeke inaonyesha nguvu zake kwako mahali amekufikisha iyo tu nitosha
2026-11-28 12:56:42
0
mgeregenze. :
ukweli mchungu utabaki kusemwa na watu wachache,na watakao elewa ni wachache,
2026-11-28 14:58:26
0
wilson :
Kama Mtu haamini Kuwa Mungu yupo huyo nae anashangaza
2026-11-28 12:46:43
0
SPEAK NICE 🗣 👍 :
Wasikilize kwa kuelewa
2026-11-28 10:18:32
0
To see more videos from user @hmahalu, please go to the Tikwm
homepage.