@mgfey6: #Tiktoks #comedia #Tanzania #football #CapCut

MG
MG
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 28 November 2026 09:57:36 GMT
82943
2720
181
2254

Music

Download

Comments

monjilameck_05
Monjilameck😎 :
me ndio huyu sijali chochote🤣kwanza wazazi sina
2026-11-29 08:27:08
49
penina.sweet
Penina JB 👑🧸💕🦋 :
Nmekumbukaa mbalii😅😅😅😅😅
2026-11-28 17:17:14
60
itsslim96
🦋It’s 🍀slim🦋 :
Baadae tukiwanyima hela wanalalamika kwenye media 😁
2026-11-29 00:43:31
57
zuuhkinana7
baby zuh😍 :
mimi ndo yule wa pili kukimbia😂
2026-11-28 19:06:09
29
flygril07
𝔽𝕝𝕪𝕘𝕚𝕣𝕝🦋🦋🦋 :
walahi huyu n baba yang kabeesa yan me nilisha pigwa katikati ya mziki 🥹 uwiii Allah amrehemu Nampenda
2026-11-28 18:16:27
42
majayden62
@cute :
nilipigwa na mzee kwenye msiba watu wamejaa kisa nmekaa tent la wanaume na mimi ni msichana pekeangu niliona aibu na baby wangu alikuwa hapo🤣
2026-11-29 09:16:50
10
rajabukhatibu55
Ibn ally 🤲🏿🤲🏿 :
huyu mzee vipi jamani
2026-11-28 16:19:20
12
da.tee172
🦋tiffah🦋 :
uwiii😂🤣😅😂🤣 dada angu alifanyiwa hivi na baba matokeo yake alivyoludi nyumbn tukapigwa woteèe🤣🤣🤣🙌🙌
2026-11-28 19:20:20
13
dinahyasin3
Dinah🦋💕🦋 :
Mdada alikuwa kashajiandaa kujibu shambulizi Ila kuangalia hiv kumbe baba😅😅
2026-11-28 19:30:59
7
sheillahjumanne
Sheillah-♤♡☆ :
ilishawai kutukuta😂
2026-11-28 19:12:30
3
abdulblackamerica
Black :
ila si kabaki 1 anamaliza show kwa niaba🤣🤣
2026-11-28 17:48:44
5
ladykhamo
Ladykhamo-Delights :
Wanachekesha km sio ndugu zako😂😂
2026-11-28 20:11:48
4
milkajohn05
sunshine :
Enzi hizo mama yangu alikuwa akiniviaga nikiwa nacheza kwaito kwenye sherehe za ubarikio yan nakuta nacheza zangu unasikia shwaa ngumi ya sikio mie huyo mbio kwenye mikahawa 😁😁😁😁😁😁
2026-11-28 19:40:03
5
rossykadzo
mumy🥰🥰 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣it happened to me severally
2026-11-28 23:41:29
0
cute.fadyy
cute fadyy :
Ila baba kazingua😅😅
2026-11-28 19:50:53
1
missa4920
hamissa🍒💦💊💯 :
mm sasa kina dada baba anakuja 😳😳
2026-11-29 06:46:15
2
ekitike61
who are you :
camera man😂😂😂
2026-11-28 19:34:16
0
jojo_boutiquee
Shop with Jojo :
Baba angu enz izo 😂😂
2026-11-28 21:26:15
1
aficionadojr
ȺFƗȻƗØNȺĐØ ɈɌ🎖️ :
Nimemuona kidy papy na hunter wanakimbia
2026-11-28 19:54:59
0
makukegedalia
Mk#Tiktoker :
Uyo aliyebaki ningekuwa mm pia ningekimbia ningeadithia kwamba tulivamiwa tukiwa kwenye show😂😂
2026-11-29 06:54:42
1
hilmy5332
Sherry Budda :
😂😂😂wazaz wanaeza kudhalilisha sana
2026-11-29 02:03:17
2
halamadrid_239
@ HALA MADRID _ 15 🏆 :
ah sasa kam ndoiv mbon baba enu anakipara na Sisi atusemi , mbon me sisemii 🤣
2026-11-28 19:49:43
2
kelvinkanza7
vinny cruizy :
yaani ni.aibu kubwa saana kila ukiona watu nguvu zinakuisha😅😅
2026-11-29 03:42:48
2
makukegedalia
Mk#Tiktoker :
Kwaya nzima ni wanae tu au aijaelewaa😂😂😂
2026-11-29 06:53:46
1
sheythequeen
🦋SHEYNAH🦋 :
Mim nd huy nilobal nachez pek yang 😂
2026-11-29 00:15:31
1
To see more videos from user @mgfey6, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About