mi juzi nagombana na mwalim namwambia shule zimefungwa mbona Hamna holiday package Yani ugomvi umekua mkubwa sana na ukiangalia ada nimemaliza inaumaa😀
2026-11-28 13:46:46
3
Shedyy :
we acha tu Hadi tunafatilia homework tunauliza mbona umekosa tunapiga sim Kwa mwalim wa somo🤣🤣🤣🤣
2026-11-28 11:46:42
6
Elly moshi :
Acha tu afu mtu anakuambia zaa wengi kila mtoto anakuja na riziki yake 😂😂😂😂nimekomaaa
2026-11-28 14:16:43
1
JK :
acha kabisa private kiboko 😂🤣
2026-11-28 13:46:01
1
Chinga girl ⭐️💪 :
mbona kama unanisema mm😂😂
2026-11-28 13:08:05
2
mrs ben1tz :
nina no hadi ya mlinzi
2026-11-28 13:19:01
1
diana zacharia :
N kweli kbsa kak hujakosea
2026-11-28 13:38:57
1
Adamson Zadina 628 :
It's true 🙏🏼
2026-11-28 12:45:48
0
Leonia Sela :
kweri kabisa
2026-11-28 12:51:13
1
Rachel baby :
nikweli
2026-11-28 11:09:10
1
Rene keni :
waambie aisee wazaz wet kumbe walipambn sanaaa😂
2026-11-28 14:13:25
0
Maria Samson :
nakupenda
2026-11-28 10:53:50
1
Khadija Swalekhe :
najiona kbsaaa
2026-11-28 13:05:16
0
veronicavangisher :
yaani acha kabsa
2026-11-28 13:36:23
1
hadijathabiti722 :
🤣🤣jmn
2026-11-28 11:00:19
0
roby changalawe💕 :
hadi mlinzi ninayo
2026-11-28 13:27:59
0
jimu :
ni kweli
2026-11-28 13:45:41
0
lorraine kstr mp❤❤❤ :
njovile baba
2026-11-28 10:51:27
0
Jovitha Simon :
me nilikuwnarudishwa yn nyumban baba anakasirika
2026-11-28 12:47:57
0
user1517438116143 :
kweli kbs
2026-11-28 11:32:17
0
Jovitha Simon :
kabsa
2026-11-28 12:47:22
0
Juju🦋 :
Acha kaka asaiv eti na mm namfokea mwalimu uchungu wa ada aiseee😂😂😂
2026-11-28 14:26:08
0
Jesca Maricky :
yan
2026-11-28 12:48:59
0
jeny :
yani hatali mm siongei mwaka naona kesho tu hapa hizo ada hunaacha ndala
2026-11-28 13:51:01
2
💫Beck🦋 :
🥰🥰🥰
2026-11-28 10:54:53
1
To see more videos from user @matabe._, please go to the Tikwm
homepage.