shangazi nipo apa weeh tangulia mm napitia polisi nakuja na defender 😀😀😀😀
2026-11-28 12:01:44
272
Bwalya _ 738 :
baba hana muda wakupoteza
2026-11-28 12:26:00
127
maryamu911 :
Hadi shule zifunguliwe huyu baba hatachanganyikiwa
2026-11-28 12:57:12
122
nameless :
sasa embe kuliwa na chumvi ndio nn sisi wakenya hatujaelewa 😂😂ila tumecheka tu ..na CHEY tunamkubali huku kenya best comdian
2026-11-28 12:39:24
39
people😂😂 :
kwan maana yake nini?😳
2026-11-28 13:03:24
12
Olesta💞💞 :
me sijaelewa kitu jaman,,ila nimecheka😂😂😂😂😂
2026-11-28 12:28:05
14
꧁༒Ramer-Dhan༒꧂ 👑 :
Party Two please 😂😂😂😂😂
2026-11-28 13:54:19
0
Kayrie🤏 keisy🍒 :
Shangaz nipo njian
2026-11-28 13:16:16
5
ZAHRA ❤ :
Napenda ninapopendwa sipendi kuumizwa 🥰❤️🥰❤️
2026-11-28 12:37:17
9
Daireen :
Iliwahi kutongozwa na Mzee akanambia nisiseme atakua ana nipa chokleti na soda kila siku, mm apo nina miaka 12, nikaenda kumwambia Kaka angu, kaka alitoka na Panga kidogo Amkate viwiliwili, mpaka leo nikiludi vijijini kwetu Wananiheshimu🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Nakupenda sana KAKA ANGU umenisaidia 🙏🥰🥰🥰
2026-11-28 13:12:30
11
Kid The Beast :
Tukamshandue kak 😂😂😂
2026-11-28 11:54:27
58
Angel Gabriel Tomson :
so what happened 🤣🤣🤣
2026-11-28 13:50:27
0
🍁Ema_dê_Jr🌴 :
kesi ishakuwa ngumu😂😂😂😂
2026-11-28 11:55:31
18
TUMAL😜 :
eti baba mi kwani ni embe 🤣🙌
2026-11-28 13:09:46
5
KELLY WIDE :
NAKUJA😂
2026-11-28 11:54:58
39
Charles :
Hiv we chey Mbn unanichekesha sana😁😁😁😁
2026-11-28 13:50:01
0
Msaliti po :
🤣🤣 ilah kak chey ww unajua sanaaaaaaaaa
2026-11-28 11:54:15
21
dias^don19 :
ila chey
2026-11-28 13:02:26
0
samponeratz :
Daaah ila chey🤣🤣🙌🏿
2026-11-28 12:05:30
5
._jay🥷🏿✨ :
tushamchorea rada huyo 🤣🤣
2026-11-28 12:03:21
7
Dee🦋🦋 :
USISAHAU CHUMV SASA Wakat unaenda🤣🤣🤣
2026-11-28 12:04:07
6
kessy amos :
mbn me ex wangu Ana mimb na sio yangu afu sisemi
2026-11-28 12:01:12
6
HANCE XELA🇿🇦 :
❤️5/5
2026-11-28 13:11:20
1
🎉Profile🎉 :
TUNZA AMANI MTANZANIA PENDA NCHI YAKO
2026-11-28 14:07:35
0
Frank Lema elingaya :
unatisha sn mwamba
2026-11-28 14:01:04
2
To see more videos from user @chey_tz, please go to the Tikwm
homepage.