sasa si ukae nyumba ya 40, na hapo kwenye chakula jaza madagaa na unga ili bill isifike kwenye laki 3, hata bundle siku moja moja Kaa offline sio lazima siku zote 😂😂😂😂
2026-11-28 17:08:06
8
Goldy_Gee🔶 :
kwa siku unakula 10k mwanetu😳
2026-11-28 17:42:16
2
miloy :
umegonga palepale mwanangu unanisema mm hapa nna hali mby
2026-11-28 15:30:47
12
Mamy🇹🇿🇹🇿 ♍️ :
ndio maana niliwambia nitatoka kwetu niende kwa mume 😂😂stress staki mimi
2026-11-28 14:42:37
5
enokjr🇹🇿 :
kuna ss tunalipwa 150k kod 50 nauli 90 umeme 10 kula 150k alaf namwambia mdogo wangu asije dar kugum nimechukiwa na familia mzma nachoka mm
2026-11-28 16:59:25
3
🔥🔥🔥🔥UZAO WA KIM 🔥🔥🔥🔥 :
live is chot
2026-11-28 17:02:44
1
George Bad :
aloooo mkubwaaa
2026-11-28 16:36:49
0
naa🖤 :
bado michezo upatu😂😂😂😂
2026-11-28 16:01:14
3
VEGAS 💖☂️ :
Kodi 70k wapi huko jmn😳
2026-11-28 16:19:58
1
neylicious 02122020❤️ :
umesahau umeme
2026-11-28 17:45:10
1
mamah Richie😘🫂 :
bado umeme na mama wa taka😂😂
2026-11-28 15:30:24
1
iDavieh 🌿 :
Yan kula tu inazid mshahara mwanetu 😂
2026-11-28 16:11:14
2
shivania2020 :
humo humo
2026-11-28 15:55:32
0
Migeka Outfits :
Azam na bando sio lazim utumie
2026-11-28 17:01:52
1
first born wa mama :
hayo matumizi yako ni yangu ila kidogo mie maji silipii Kuna kisima umeme natoa buku 2 nauli 60,000 Azam silipii bando 70,000 mshahara 150k nachoka mie 🤦
2026-11-28 16:06:55
1
ibrah_ :
Unakula sana mwanetu
2026-11-28 17:45:00
0
Robert🛫 :
Nisikilize mimi Furaha ipo embu twende sawa haap
kwanza apo Toa chakla yaani usile unakua ume save 300,000
Toa na nauli unakua umesave 45,000
jumla inabakia 168,000 kwenye mshahara wa 350,000 unakua umebakiwa na hela ya kula bata kama 182,000😂 aya nambie furaha ipo au haipo
2026-11-28 17:47:25
0
Real Brian :
Umepig hesabu ki hanasa hapo kula 300000 unakula nin 40000 to inatosha
2026-11-28 17:10:37
0
360 motors :
2026-11-28 16:07:13
1
adelinaglbert :
yan iyo barely nibyangu kabisa lakin hapo kwenye mshahala ni 150000 yan mpak nashidwaga kuerewa
2026-11-28 16:04:11
1
anu :
kwann uwe na kazi moja wenzio tunazo mbili😂😂
2026-11-28 16:14:03
0
Samwel De geneiro :
niko nampango madhubuti kutoka kwenye utumwa huu nahitaji kuungwa mkono na wafalme wanaotafuta ufalme wao kwajili ya uhuru wao na kujitawala wenyewe 🤔🤔
mimi ni general samwel nahiyaji kupanga mipango na wafalme kwajili ya kutengeneza ufalme mpya🫡🫡
HII DUNIA TULIOANAYO SIO
2026-11-28 17:14:33
1
ANDREY S047 👊👊. :
daaah ukwel no happy
2026-11-28 15:53:21
1
Bado natafuta 100 :
Fact
2026-11-28 15:34:35
1
To see more videos from user @dogo.abi.mwaisa, please go to the Tikwm
homepage.