@manyanda_african_powerg: Usikate tamaa na maisha, bado kuna tumaini na nguvu ndani yako. Tarehe 31/12 tunakutana kwa siku ya kujitambua, kuamsha fahamu na kufungua ukurasa mpya wa maisha. 📍 Mahali: Sinza Vatican, Mawela Hall 🕐 Muda: Saa 1:00 usiku hadi saa 6:00 usiku Dress code: Nguo nyeusi Kiingilio: Bure kabisa 📞 Mawasiliano: 0795359252 Usikose siku hii. Njoo na moyo wako, ushiriki na uwe sehemu ya tukio hili. Manyanda African Power kuamsha fahamu
manyanda_african_powerg
Region: TZ
Saturday 28 November 2026 14:40:21 GMT
Music
Download
Comments
Nananaomi :
Hy kaka Mimi myeny marundi kufanyikiwa nulazima
2026-11-28 14:52:22
1
S.DEEN SUNNAH (A.M.V) :
Allah yasa muyi kyakyawan karshe🥹🤲😭
2026-11-28 21:58:09
0
jimmy king##njeru macharia 123 :
cctv unasemaje nitabue
2026-11-28 22:42:59
0
King_Ismarta :
Napenda watu walio na utu
2026-11-28 21:11:05
0
SAMWELI :
nakupataje
2026-11-28 19:25:51
0
essyamukoa :
nguvu kubwa ni manyanda African power
2026-11-28 15:11:29
0
frola mwaipungu :
Nakuja nitafika saa kumi ili nikae kiti cha mbele
2026-11-28 19:00:11
0
zainabu :
naipenda sana saut Ako unaongeaga vizur
2026-11-28 20:22:30
0
Mariam omary :
ila sina neno juu ya huyu kaka dah
2026-11-28 19:46:35
0
ematheboy masterkucha :
daah manyanda wangu unanyumba nyingi sana tena ghorofa aise wee jamaa tajir sna nisaidie laki2 nadaiwa mkopo wangu nimekaliwa kooni kinoma sio pw daah
2026-11-28 19:46:46
0
omary manyanda :
manyanda African power 💪
2026-11-28 14:46:07
0
MARY METHOD :
nice
2026-11-28 18:18:30
0
sylvester dominic :
nakukubal sana kaka manyanda aftican power
2026-11-28 18:05:09
0
Mapiano Warioo :
Udje Congo kk manyanda 😭😭🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
2026-11-28 18:15:18
0
carinah :
Manyanda Africa power Mafanikio kwetu ni lazima.....💪
2026-11-28 15:04:50
0
assma m :
jamani nasie tuone kaka angu mda sasa na mwingi sana sjabahatika kuongeanawe nataka kujiunga mapaka namaliza mwaka.nipo zanzibar
2026-11-28 19:42:23
0
Mr 𝕡𝕚𝕦𝕤🎮👊 :
Ndio
2026-11-28 14:57:49
0
jimmy king##njeru macharia 123 :
cctv unasemaje nitabue
2026-11-28 22:42:00
0
shyle shyline :
nishasaidika na babu wa kioo kurudisha mpenzi wangu saa hii ametulia kabisa.
2026-11-28 19:53:24
0
h@wa manyanda♥️🇹🇿💎 :
🥰🥰🥰🥰🤝
2026-11-28 18:12:13
0
francis wambura matiko 35 :
@
2026-11-28 18:09:44
0
Naomi Mutegi :
🥰🥰🥰
2026-11-28 18:05:20
0
rabanize :
😁😁😁
2026-11-28 14:55:59
0
rabanize :
🥰🥰🥰
2026-11-28 14:55:48
0
Djpati🥰🥰 :
🥰🥰🥰
2026-11-28 21:24:31
0
To see more videos from user @manyanda_african_powerg, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.